OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru.
Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule makamu wa rais wa janjajanja fc si alisema wameandaa timu ya wanawake kubeba mataji yote na nguvu kubwa ataelekeza huko?View attachment 2394531
View attachment 2394532
Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru.
Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
Yanga wana improve, kutoka 7-0 hadi 2-0. Wanapongezana waliko huko
Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru.
Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
Cuf ya lipumbaSafi sana simba ikicheza Tanzania mpka caf wanakuwa na furaha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]