Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

Mtu mweusi hatari sana.Ni kama tu hapa Tanzania awamu ya sita anavyowanyanyasa wa Tanzania Kwa manufaa ya wazungu.kule mara wanakijiji wanafukuzwa hovyo ili kuwapa maeneo wawekezaji wa madini pamoja na wafanyabiashara wadogo(machinga)Nchi nzima kufukuzwa hovyo na hii serikali dhalimu ya huyu mama yao
 
Pesa aliyomwaga sio ya Nchi hii,angejua angeenda hata Namibia au Angola au Uganda
 
Pesa aliyomwaga sio ya Nchi hii,angejua angeenda hata Namibia au Angola au Uganda
Ile refinery angeiweka Tanga au hoima ingemlipa sana lakini Tanga ilikua best option maana angeuziwa mafuta ghafi na kuyasafisha angeuza soko la afrika mashariki na kati, sema watu wake wa tafiti hawakumstua, halafu serikali ya nigeria ilikaa kimya alipomaliza ndio vikaanza visa lukuki sasa
 
Hata unabaki kuwa mtu mweusi na hizo tabia pia unazo kafanyiwa kwao kwenye nchi yake halafu unalalamika passport kwenye awamu hii sio iliyopita huoni una tatizo lakini hujijui!
 
Na ndio maana wazungu hawataacha kutuonea,,natutaendelea kuteseka mpaka siku akili zitakapotukaa vizuri na mpaka kufika hiyo siku tutakua hatuna lolote wala chochote.
 
Updates πŸ˜†πŸ˜†

View: https://www.instagram.com/p/C-XnDafKwbB/?igsh=MXFsb2h5ZmM3bjR2cg==
 
Hii imenikumbusha uwekezaji wa Starlink ulivyokwamishwa hapa nchini kwa maslahi ya watu wachache. Mtu mweusi ni aidha amelaaniwa au bado hajawa binadamu kamili, huwezi kuzuia mradi utakaobadilisha maisha ya wananchi wako eti kisa hujapewa chochote! Hiyo ndo tofauti ya wao (wazungu, waarabu na waachina) na sisi (watu weusi)
 
Hili jambo lipo na UKWELI MTU mweusi kuna mambo hayuko sawa .

Watazame black people waliozaliwa na kukulia marekani.!
 
Ajee tanzaniaaa akubali kula na wenziee
 
Nigeria wana changamoto ya makampuni ya Nje kuiba mafuta pale kwa hiyo hao ndio wanafanya figisu ili Dangote asipate kibali pale hao Wafaransa walioshika usukani wana balaa sana hata wale Shell ambao Mwalimu aliwatimua wana uwezo wa kumpangia Rais nini cha kufanya kama wanavyofanya wahuni wa mafuta hapa Tanzania kwa kuwapangia Ewura bei elekezi ambazo muda wote ziwe faida upande wao tu..
 
Huo ndio uchoyo na ubaya wa roho za waafrika.
 
Yaani upo sahihi kabisa. Toka anaanza ujenzi wa refinery, serikali naamini ilimpa vibali, kwa sababu there is no way ukajenga mradi mkubwa namna hiyo bila vibali. Sasa kakamilisha refinery then ananyimwa malighafi. That is so sad indeed. Wametaka tu kumuumiza Dangote. Hii ngozi imelaanika sana!
 
Nime highlight some remarkable quotes from P.W. BOTHA,
Inawezekana Botha alikua SAHIHI kututukana WAKATI ule wa apartheid era in S.A.

NUKUU,
""
We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike

By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex.

Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn’t it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man?

Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women?

Our experts should work day and night to set the Black man against his fellowman. His inferior sense of morals can be exploited beautifully. And here is a creature that lacks foresight. There is a need for us to combat him in long term projections that he cannot suspect. The average Black does not plan his life beyond a year: that stance, for example, should be exploited. ""

Aisee,
BOTHA ANAWEZA KUA ALIKUA SAHIHI KUHUSU MTU MWEUSI.
 
rushwa inachangia.. Weusi ni rahisi kupata rushwa kwa wageni, wakiona mzawa hutoi rushwa, wanakukwamisha... Ile biashara ya mafuta imejaa ufisadi sana, hayo si madini ? lazima ufisadi umejificha ndani yake
 
Sawa ulitaka Wezi na mafisadi watambe kama Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…