Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Bwana Dangote Tajiri Mkubwa Afrika ameeleza Kwa uchungu namna Mtu mweusi ana roho mbaya ya kuthamini vitu vya mweupe lakini sio vitu vya kwao weusi.

Vikwazo alivyokutana navyo bwana Dangote ni uthibitisho wa akili za hovyo za mtu mweusi.Haya hapa Tanzania awamu Ile iliyopita kulibakia kidogo afungashe virago kwenye biashara ya saruji Mtwara Kwa sababu zile zile za kukosa akili Kwa mtu mweusi.

Just imagine huyo ni Tajiri anayumbishwa hivyo itakuwaje Kwa mfanyabiashara na mjasiliamali wa kawaida?

Tangote ni mfano wa mbali ila ukitaka kujua Hali ikoje Kwa mtu mweusi wa hapa Tanzania nenda tuu katafute passport ya kusafiria Nje Nchi na usiwe na jina Kisiasa au Cheo ndio Utajua hujui.👇👇

Screenshot_20240801-093258.jpg

Takribani wiki mbili zilizopita, kwenye mahojiano na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), tajiri mkubwa barani Afrika, Aliko Dangote, alikaribia kulia akizungumzia hali ngumu ya kibiashara anayopitia.

Miezi michache iliyopita, Dangote alitangaza uzinduzi wa moja ya viwanda vikubwa vya kusafisha mafuta barani Afrika kwa lengo la kuzalisha mafuta kwa gharama nafuu kwa wananchi.

Kwa bahati mbaya, tangu uzinduzi wa kiwanda chake cha kusafisha mafuta, Aliko amekumbana na vikwazo vingi vya kibiashara. Serikali ya Nigeria, ambayo ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani, ilidai kwamba haina mafuta ghafi ya kumpatia Dangote.

Dangote alikasirika sana aliposikia habari hizi na akaamua kwenda Brazil na Marekani kununua mafuta ghafi. Kwa bahati mbaya, na kwa mshangao wake mkubwa, alipotaka kuingiza mafuta haya ghafi kutoka nchi hizo kwa ajili ya kuyasafisha kwenye kiwanda chake, serikali ya Nigeria ilipinga ikisema kwamba hana leseni za uagizaji

Chanzo: Mwananchi

----

My Take
Pole sana bwana Dangote,ukitaka uwe safe na utajiri wako hapa Afrika lazima upige Magoti Kwa Wanasiasa au naweza pia uwe mwanasiasa.👇👇

View: https://twitter.com/EduTalkTz/status/1818741061625495640?t=SqzsC3V1Dz2qtxdH4o21Jw&s=19
 
Sehemu kubwa ya Waafrika ni kama wamelaanika, sio East au West, wote same same tu.
Akili ya watu wengi weusi Ina kasoro kubwa na nadhani Ina ubinafsi mkubwa ambao hauna maslahi kwake ,yaani Yuko radhi wote mhatibikiwe.

Cc wakati wa kutumbua majibu,nataka matajiri waishi kama mashetani wasiende Dubai kutumbua maisha 😂😂😂😂😂
 
Bwana Dangote Tajiri Mkubwa Afrika ameeleza Kwa uchungu namna Mtu mweusi ana roho mbaya ya kuthamini vitu vya mweupe lakini sio vitu vya kwao weusi.

Vikwazo alivyokutana navyo bwana Dangote ni uthibitisho wa akili za hovyo za mtu mweusi.Haya hapa Tanzania awamu Ile iliyopita kulibakia kidogo afungashe virago kwenye biashara ya saruji Mtwara Kwa sababu zile zile za kukosa akili Kwa mtu mweusi.

Just imagine huyo ni Tajiri anayumbishwa hivyo itakuwaje Kwa mfanyabiashara na mjasiliamali wa kawaida?

Tangote ni mfano wa mbali ila ukitaka kujua Hali ikoje Kwa mtu mweusi wa hapa Tanzania nenda tuu katafute passport ya kusafiria Nje Nchi na usiwe na jina Kisiasa au Cheo ndio Utajua hujui.👇👇
View attachment 3058435

Takribani wiki mbili zilizopita, kwenye mahojiano na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), tajiri mkubwa barani Afrika, Aliko Dangote, alikaribia kulia akizungumzia hali ngumu ya kibiashara anayopitia.

Miezi michache iliyopita, Dangote alitangaza uzinduzi wa moja ya viwanda vikubwa vya kusafisha mafuta barani Afrika kwa lengo la kuzalisha mafuta kwa gharama nafuu kwa wananchi.

Kwa bahati mbaya, tangu uzinduzi wa kiwanda chake cha kusafisha mafuta, Aliko amekumbana na vikwazo vingi vya kibiashara. Serikali ya Nigeria, ambayo ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani, ilidai kwamba haina mafuta ghafi ya kumpatia Dangote.

Dangote alikasirika sana aliposikia habari hizi na akaamua kwenda Brazil na Marekani kununua mafuta ghafi. Kwa bahati mbaya, na kwa mshangao wake mkubwa, alipotaka kuingiza mafuta haya ghafi kutoka nchi hizo kwa ajili ya kuyasafisha kwenye kiwanda chake, serikali ya Nigeria ilipinga ikisema kwamba hana leseni za uagizaji

Chanzo: Mwananchi

----

My Take
Pole sana bwana Dangote,ukitaka uwe safe na utajiri wako hapa Afrika lazima upige Magoti Kwa Wanasiasa au naweza pia uwe mwanasiasa.
Mtu mweusi ni ngedere
 
"Wherever you see Black people you see problems. Black itself alone is problem."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Dangote hii issue imestress sana hadi anajuta kuwekeza kwao nigeria, lakini ukiangalia refinery kama yake Afrika ziko mbili tu nadhani Algeria na Angola, lakini vikwazo anavyokutana navyo ni hatari sana, amewaomba aimport mafuta na atakua anasafirisha ili soko la mafuta yao awaachie bado hawataki, na wao wanataka wapewe shares nyingi ilihali hawajaweka pesa yoyote
 
Back
Top Bottom