Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

Akili ya watu wengi weusi Ina kasoro kubwa na nadhani Ina ubinafsi mkubwa ambao hauna maslahi kwake ,yaani Yuko radhi wote mhatibikiwe.

Cc wakati wa kutumbua majibu,nataka matajiri waishi kama mashetani wasiende Dubai kutumbua maisha 😂😂😂😂😂
Kumfananisha Magufuli na anacho kipitia Dangote nchini mwake nadhani ni kumkosea sana mwendazake. Mwendazake katengeneza sheria nyingi sana za kumnufaisha Mtanzania kuliko mgeni, sema sisi wenyewe ndio hatujui. Unaijua sheria ya local content? Kaitengeneza Magufuli, wale aliosema wataishi kama mashetani ni wale walio iba mali za umma na kujitajirisha kibinafsi; wafanya biashara ambao hawakuwahi kua na scandals mbona hawakuguswa? Haya, bandari tumempa nani? Hivi mwendokasi kama kweli tumeshindwa kuiendesha, tumeshindwa kumpa local businessman mwenye uzoefu hadi tuwafikirie waarabu? Wendqzake hapa umemuonea bro.
 
Back
Top Bottom