Dangote akanusha taarifa za kifo chake

Dangote akanusha taarifa za kifo chake

Status
Not open for further replies.
Wakati unaandika ulikuwa unamuwaza huyu demu!
tunda2.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna watu wanashindana kuanzisha mada hapa JF
 
Maoni yenu wote huko juu mpo sawa, ila nimeileta angalau wasiojua kinachoendelea nao wajue
 
mkuu kwani kulikuwa na ulazima wowote kuuleta taarifa hapa, nauliza tu.
Yaah ulazima ulikuwepo ,ingawa kakanusha lakini watu wajue kabisa kwamba skendo za ajabu ajabu hazipo bongo tu hata nchi za wenzetu pia zipo
 
Mumuelewe mleta uzi.

Mkanushaji anaweza kuwa mtu wake wa karibu anayekuwa naye na kumbebea vitu vidogovidogo ikiwemo simu kwa baadhi ya nyakati.

Kwa nini avumishwe kafa!!
Kwanini Aliko Dangote?
Kwanini muda huu (sasa)?

Je kuna ukweli wowote juu ya kuugua?

Maswali yapo tu!!!

Ref: "KIMWAGA MDADISI"
 
Mumuelewe mleta uzi.

Mkanushaji anaweza kuwa mtu wake wa karibu anayekuwa naye na kumbebea vitu vidogovidogo ikiwemo simu kwa baadhi ya nyakati.

Kwa nini avumishwe kafa!!
Kwanini Aliko Dangote?
Kwanini muda huu (sasa)?

Je kuna ukweli wowote juu ya kuugua?

Maswali yapo tu!!!

Ref: "KIMWAGA MDADISI"
Yaaaaah wewe umenielewa vyema kabisa
 
Mumuelewe mleta uzi.

Mkanushaji anaweza kuwa mtu wake wa karibu anayekuwa naye na kumbebea vitu vidogovidogo ikiwemo simu kwa baadhi ya nyakati.

Kwa nini avumishwe kafa!!
Kwanini Aliko Dangote?
Kwanini muda huu (sasa)?

Je kuna ukweli wowote juu ya kuugua?

Maswali yapo tu!!!

Ref: "KIMWAGA MDADISI"
Asante mkuu kwa kuwaelimisha hao
 
Mtandao mmoja huko Ujerumani umeripoti kuwa bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote amefariki ghafla kwa kuugua kwa muda mfupi


Hata hivyo bilionea huyo alikanusha madai hayo kupitia Twitter na kusema yeye yupo salama salmini na yupo S.Africa akifanya mambo yake



View attachment 407084




View attachment 407085
Hapa umeniangusha aisse.

Mods toeni huu upupu hapa..!
[emoji35] Cpendag ujinga mm
 
Watu wengine hamna kazi za kufanya ndo maana mmeambiwa fanyeni kazi,
 
Braza acha uchuro basi.....aaah umenikera sana aisee
 

Africa's richest man Aliko Dangote is not dead

Ismail Akwei 18 hours ago

NIGERIA
Rumoured death of Africa’s richest man, Nigerian Aliko Dangote has gained his attention on Sunday after the false news spread across several news websites.

Dangote tweeted at 14:00 GMT that he is alive and people should disregard the malicious report.

“I am hale, hearty and alive. Please disregard malicious report saying otherwise. Thank you,” he said.

I am hale, hearty and alive. Please disregard malicious report saying otherwise. Thank you.

— Aliko Dangote (@AlikoDangote) September 25, 2016


The rumour is believed to have started from a German website on Sunday morning and later picked up by many websites in Africa.

The website reported that Dangote had “died in Germany after a short illness which was confirmed by his family”.

Nigerian media are reporting that Aliko Dangote’s lawyers are in the process of taking legal action against the website which still has the story online.

Aliko Dangote is the 67th richest person in the world and the richest in Africa with an estimated net worth of US$12.9 billion as at September, according to Forbes. This is a decline from $15.4 billion in March due to Nigeria’s recent devaluation of the Naira.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom