brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati unaandika ulikuwa unamuwaza huyu demu!![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati unaandika ulikuwa unamuwaza huyu demu!![]()
Yaah ulazima ulikuwepo ,ingawa kakanusha lakini watu wajue kabisa kwamba skendo za ajabu ajabu hazipo bongo tu hata nchi za wenzetu pia zipomkuu kwani kulikuwa na ulazima wowote kuuleta taarifa hapa, nauliza tu.
Kwa nini ? toa sababu ,ukishindwa tengua kauliMleta mada umechemsha sana du
Yaaaaah wewe umenielewa vyema kabisaMumuelewe mleta uzi.
Mkanushaji anaweza kuwa mtu wake wa karibu anayekuwa naye na kumbebea vitu vidogovidogo ikiwemo simu kwa baadhi ya nyakati.
Kwa nini avumishwe kafa!!
Kwanini Aliko Dangote?
Kwanini muda huu (sasa)?
Je kuna ukweli wowote juu ya kuugua?
Maswali yapo tu!!!
Ref: "KIMWAGA MDADISI"
Hivi akili zako zina akili wewe? edit hiyo heading ya uzi wakoHata hivyo bilionea huyo alikanusha madai hayo kupitia Twitter na kusema yeye yupo salama salmini
Asante mkuu kwa kuwaelimisha haoMumuelewe mleta uzi.
Mkanushaji anaweza kuwa mtu wake wa karibu anayekuwa naye na kumbebea vitu vidogovidogo ikiwemo simu kwa baadhi ya nyakati.
Kwa nini avumishwe kafa!!
Kwanini Aliko Dangote?
Kwanini muda huu (sasa)?
Je kuna ukweli wowote juu ya kuugua?
Maswali yapo tu!!!
Ref: "KIMWAGA MDADISI"
Hapa umeniangusha aisse.Mtandao mmoja huko Ujerumani umeripoti kuwa bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote amefariki ghafla kwa kuugua kwa muda mfupi
Hata hivyo bilionea huyo alikanusha madai hayo kupitia Twitter na kusema yeye yupo salama salmini na yupo S.Africa akifanya mambo yake
View attachment 407084
View attachment 407085
Yaah, swali linakuja je ni kweli aliyekanusha ni dangote mwenyewe?? Na waliomzushia waliwaza nini??Hivi akili zako zina akili wewe?
Nimepotosha nini?Hata wewe ni mpotoshaji take care

Hii habari inahitaji uwezo wa hali ya juu kuielewa na mpaka sasa aliyeielewa ni mmoja tu naye ni huyo JogiWatu wengine hamna kazi za kufanya ndo maana mmeambiwa fanyeni kazi,
Watu wengine hamna kazi za kufanya ndo maana mmeambiwa fanyeni kazi,