Dangote atangaza ongozeko la Bei ya Sementi kuanzia 12 Mei 2026 kisa gharama za usafiri, malighafi na uendeshaji

Dangote atangaza ongozeko la Bei ya Sementi kuanzia 12 Mei 2026 kisa gharama za usafiri, malighafi na uendeshaji

Dangote trucks zake karibu zote, zimefungwa mfumo wa gesi. Sasa gesi kupanda ni wazi gharama upande wake za usafiri zimeongezeka. Mtungi mkubwa sasa hivi ni 62,000/=

Tuliposema Marekani alikurupuka kuanzisha vita na Irani, wayahudi wa Karenga walitushambulia sana hapa. Anaeumia sio Irani peke yake! 😁
Tofautisha LPG na LNG, mitungi ya majumbani ni LPG hii ndio imepanda bei na Gas hii inakua imported
Upande mwingine LNG ndio inatoka Mtwara na hii ndio inavituo vya kujazia magari maeneo mengi Dar na hutumika pia kwenye baadhi ya viwanda kama Twiga na Azam
 
Sawa ufafanuzi mzuri. Nyongeza ni kwamba viwanda vya saruji ni mtumiaji mkubwa wa gesi zote mbili, kwa kiasi kikubwa sana.
 
imani yangu mama lazima alitizame hili wala hakijaharibika kitu

watanzania tukae mkao wa kula
 
Minyukano ya Mataifa yenye nguvu isipotulia dunia itakiona cha moto!
 
Dangote trucks zake karibu zote, zimefungwa mfumo wa gesi. Sasa gesi kupanda ni wazi gharama upande wake za usafiri zimeongezeka. Mtungi mkubwa sasa hivi ni 62,000/=

Tuliposema Marekani alikurupuka kuanzisha vita na Irani, wayahudi wa Karenga walitushambulia sana hapa. Anaeumia sio Irani peke yake! 😁
Gesi wanayotumia Dangote inazalishwa Tanzania.
 
Gentleman,
hilo sio jambo jipya wala la kushangaza kwa kipindi hiki cha mizozo ya kiuchumi na kiutu inayoendelea sehemu mbalimbali duniani šŸ’
Halafu mafuta yanatozo kibao, serikali ya CCM si muondoe hizo tozo basi!
 
Alikuja kwa mbwembwe bongo eti mifuko wa saruji ungefika 3,000 lakini Kuna sehemu nyingi hapoa bongo hata kuona tuu saruji zake madukani hazipo zaidi ya Twiga na Simba tulizozizoea
Siasa za Viwanda vya Cement ndio vinafanya ionekane hivyo Leo. Fikiria Dangote Cement inawezaje kuuzwa bei ya chini Morogoro kuliko Mtwara, wakati bei ya Twiga Dar ni ndogo kuliko Mtwara.
Wananchi tunapigwa sana!
 
Back
Top Bottom