I don’t dream of mansions😁I hear you.
We still need to build our dream mansion together.
Vifaa vya ujenzi vikipanda na kodi ya pango inapanda sababu gharama za ujenzi na ukarabati zitapanda kwa wenye nyumba.Kodi inapanda kwa kigezo kipi?
Tofautisha LPG na LNG, mitungi ya majumbani ni LPG hii ndio imepanda bei na Gas hii inakua importedDangote trucks zake karibu zote, zimefungwa mfumo wa gesi. Sasa gesi kupanda ni wazi gharama upande wake za usafiri zimeongezeka. Mtungi mkubwa sasa hivi ni 62,000/=
Tuliposema Marekani alikurupuka kuanzisha vita na Irani, wayahudi wa Karenga walitushambulia sana hapa. Anaeumia sio Irani peke yake! 😁
Tofautisha LPG na LNG, mitungi ya majumbani ni LPG hii ndio imepanda bei na Gas hii inakua imported
Upande mwingine LNG ndio inatoka Mtwara na hii ndio inavituo vya kujazia magari maeneo mengi Dar na hutumika pia kwenye baadhi ya viwanda kama Twiga na Azam
HUjui na landalord/Lady wako atapandisha gharama ya pangoYaani niache kutoa hela kununua kuku nile bata, eti ninunue Mchanga, au simenti.. nashauri apandishe tu
Tutalipa mkuu ila sio kununua michangaHUjui na landalord/Lady wako atapandisha gharama ya pango
Gesi wanayotumia Dangote inazalishwa Tanzania.Dangote trucks zake karibu zote, zimefungwa mfumo wa gesi. Sasa gesi kupanda ni wazi gharama upande wake za usafiri zimeongezeka. Mtungi mkubwa sasa hivi ni 62,000/=
Tuliposema Marekani alikurupuka kuanzisha vita na Irani, wayahudi wa Karenga walitushambulia sana hapa. Anaeumia sio Irani peke yake! 😁
Ngoja sisi tununue mchanga tuje tukupangishe kwenye huo mchanga.Tutalipa mkuu ila sio kununua michanga
Halafu mafuta yanatozo kibao, serikali ya CCM si muondoe hizo tozo basi!Gentleman,
hilo sio jambo jipya wala la kushangaza kwa kipindi hiki cha mizozo ya kiuchumi na kiutu inayoendelea sehemu mbalimbali duniani 🐒
Siasa za Viwanda vya Cement ndio vinafanya ionekane hivyo Leo. Fikiria Dangote Cement inawezaje kuuzwa bei ya chini Morogoro kuliko Mtwara, wakati bei ya Twiga Dar ni ndogo kuliko Mtwara.Alikuja kwa mbwembwe bongo eti mifuko wa saruji ungefika 3,000 lakini Kuna sehemu nyingi hapoa bongo hata kuona tuu saruji zake madukani hazipo zaidi ya Twiga na Simba tulizozizoea
Tutalala kwenye magari yetu mkuu, ni kulipia parking tuNgoja sisi tununue mchanga tuje tukupangishe kwenye huo mchanga.
Ndio maana ya kutegemeana.
Then Lets try a penthouseI don’t dream of mansions😁
Naomba ulale kijana!Then Lets try a penthouse