IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Basi awaachie mkifanye makao makuu ya umoja wa vijana kanda ya kusini.Dangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa
Viongozi waliposema tanzania ya viwanda walimaanisha viwanda vya wagonga nyundo kama sido. Sasa nyie mnawasuprise na likiwanda lenu kubwa hivyo unategemea nini. Lifungeni bana
Wewe jamaa kweli kichwani mtupu! Kile kiwanda kimejengwa kwa steel structure. Structure za namna hii ni movable. Sio kama block works. Unaweza ku-google ili kukuza uelewa wako kwenye hili.Dangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa