Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

Hii ni tatizo la kuwa na bookworm kama wasiojua biashara maana yake nini.

Hili swala halikupaswa kufika huku. Ilikua ni kukaa chini tu na kuelewana basi.
 
Dangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa
 
Sometimes huwa nahs mkuu wetu anaongea mambo ya side b
 
This saga sends bad message to prospective investors.. Govt should stop being stubborn..stubbornness won't get us any where...
 
-->>WATEULE WAKE VICHWA NGUMU NDIO WALIOMWANGUSHA MFALME MANGUSHI...
::They are not specifics, wanandimi mbili.
::Kama rais wa kitaa, kaeni chini haraka mueleweshane,mtafute ufumbuzi,mambo yasonge mbele...
 
mmmh Kenya tena?? Ushindani huu wa soko la cement tunausubiri lakini itakuwa balaa. Wakenya ni wajuzi wa figisu figisu za kibiashara.
 
Hapa naona kuna kuchanganya madesa sioni kwenye mada ya kwanza wapi wanahusisha kwenda kwake kenya na yanayotokea tanzania. Inaonekana aliplan kuingia soko la kenya kabla ya haya ya Tanzania. Hivyo hiyo move ya kenya ilishapangwa.
Ni dhahiri tusipojipanga tutaishia kununua cement toka kenya. Nina imani serikali yetu sikivu haitaruhusu hilo litokee labda kama imeamua kujizika.
 
Viongozi waliposema tanzania ya viwanda walimaanisha viwanda vya wagonga nyundo kama sido. Sasa nyie mnawasuprise na likiwanda lenu kubwa hivyo unategemea nini. Lifungeni bana

Tuna viwanda karibu kila mkoa walivyoanziasha Wamaa wetu wanaopasua kokote! TANZANIA YA VIWANDA
 
Kwahiyo Kenya ataweza kuhudumia soko la Burundi kama.alivyotarajia?
 
Dangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa
Wewe jamaa kweli kichwani mtupu! Kile kiwanda kimejengwa kwa steel structure. Structure za namna hii ni movable. Sio kama block works. Unaweza ku-google ili kukuza uelewa wako kwenye hili.

Sasa aliyekwambia kuondoa steel structure ni gharama kubwa muulize pia kuhusu gharama ya kufanya kazi katika nchi ambayo serikali yake haiheshimu terms za mikataba.
 
Afadhali aondoke kwa masilahi mapana ya uwekezaji wake
 
Tact, power of persuasion ndio siri ya ku deal na investors. Sadly Uongozi wetu has neither the tact nor power of persuasion. Arm twisting approach itafukuza wawekezaji wengi tu.
 
Nadhani kuna watu wenye busara bado serikalini
 
Back
Top Bottom