Sasa kama viongozi wetu wanatumia matumbo kufikiri unategemea nn? Kwenye mkataba wa dangote na serekali yako kulikuwa na Kipengele kinacho mlazimisha Dangote kununuwa Makaa ya Mawe Ng'aka?.......Kuna tabia ya waTanzania kupenda kuiponda serekali yao bila hata kuujua ukweli,ilimradi tu awe ametoa kashifa kwa nchi yake na kuisifia ya pembeni,ni kawaida kabisa kwa waTanzania,kila ukifika vijiweni,kwenye mkusanyiko wa watu kidogo utakuta raia wanasema vibaya tu kwa kila kitu hata kama kuna jema hawalioni,hapa wewe ndugu hata unaweza usijue undani wa huyo Dangote alitaka yamkini kutubadilikiaje,ogopa sana ukiwa na watoto wa kike nyumbani kwako afu anaibuka tu jamaa anasema ataweka ofc ili watoto wako wapate ajira pia,kuna siku utajuta na utatamani kumfukuza lakini atakua keshazalisha watoto wako wote na hauwezi mfukuza kwa kua wajukuu zako watalelewa na nani.
Kama wanavyojigamba kila uchao kwamba watatunyoosha, na kweli wanatunyoosha kwa umaskini. Ndo mana kila kitu wanabana.Hii ndio shoda ya kufanya jambo usilo litambua
Hii habari ya kujenga kiwanda kenya mbona ilikuwepo karibia miaka miwili iliyopitaWakenya watatucheka sana,iwapo Dangote ataenda uko!
Mkuu kama Makoda ni Mkuu wa Mkoa wa Jiji kubwa kama Dsm unategemea nn kwa viongozi wengine.......
Mimi nitasimama upande wa serikali hadi mwisho hata kama wanakosea maana kuna facts ndani ya maelezo ya serikali;
1. Vipi wawekezaji wengine wanapata incentives kama hizo, je hapo kuna fair competition?
2. Wawekezaji kwenye makaa ya mawe wakauze wapi makaa yao na uwekezaji wao ina maana hauna support yoyote
3. Vipi ajira kwa watumishi walio katika sekta ya makaa ya mawe?
4. Kutumia pesa za kigeni kuagiza makaa Africa kusini wakati hata kwetu yapo tena mengi na nafuu (shilingi inakosa nguvu)
5. Uwekezaji ambao hauna mpango wa win-win situation si rafiki kwa nchi yetu
Nabakia kuwa upande wa serikalo potelea mbali. Hii inawezekana hapa Tanzania pekee
Mtalaumu bure recessive alleles kwa muonekano wa heterozygote wakati muonekano huo ni matokeo ya dominant allele ambayo sifa yake mojawapo kuu ni kufunika expression of recessive alleles.-->>WATEULE WAKE VICHWA NGUMU NDIO WALIOMWANGUSHA MFALME MANGUSHI...
::They are not specifics, wanandimi mbili.
::Kama rais wa kitaa, kaeni chini haraka mueleweshane,mtafute ufumbuzi,mambo yasonge mbele...
Wakuu nawasalimu sana.
Dangote anaenda kenya, hiki kiwanda atakachojenga kenya ndio kile alichotaka kujenga kigoma ili ashike soko la Burundi na Congo, serikali kutoheshimu makubaliano ya kibiashara itatugharimu viwanda kuondoka ni kosa kubwa kwani katika viongozi wanaopiga kelele hakuna wa kuweza kugombana na yajiri level ya Dangote narudia tena hakuna sana tutaumia sisi.
Washauri hakikisheni mnamaliza matatizo forbes washatuandika vibaya hivyo kuweni makini ni rahisi kuwekeza malawi kuliko Tanzania.
Wakuu nawasalimu sana.
Dangote anaenda kenya, hiki kiwanda atakachojenga kenya ndio kile alichotaka kujenga kigoma ili ashike soko la Burundi na Congo, serikali kutoheshimu makubaliano ya kibiashara itatugharimu viwanda kuondoka ni kosa kubwa kwani katika viongozi wanaopiga kelele hakuna wa kuweza kugombana na yajiri level ya Dangote narudia tena hakuna sana tutaumia sisi.
Washauri hakikisheni mnamaliza matatizo forbes washatuandika vibaya hivyo kuweni makini ni rahisi kuwekeza malawi kuliko Tanzania.
Kugombana na Dangote ni kosa litakalotugharimu sana.Tajiri aina ya Dangote sio wa kufanyia mzaha hata kidogo.