Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

Mkuu kama Makoda ni Mkuu wa Mkoa wa Jiji kubwa kama Dsm unategemea nn kwa viongozi wengine.......
 
Kuna tabia ya waTanzania kupenda kuiponda serekali yao bila hata kuujua ukweli,ilimradi tu awe ametoa kashifa kwa nchi yake na kuisifia ya pembeni,ni kawaida kabisa kwa waTanzania,kila ukifika vijiweni,kwenye mkusanyiko wa watu kidogo utakuta raia wanasema vibaya tu kwa kila kitu hata kama kuna jema hawalioni,hapa wewe ndugu hata unaweza usijue undani wa huyo Dangote alitaka yamkini kutubadilikiaje,ogopa sana ukiwa na watoto wa kike nyumbani kwako afu anaibuka tu jamaa anasema ataweka ofc ili watoto wako wapate ajira pia,kuna siku utajuta na utatamani kumfukuza lakini atakua keshazalisha watoto wako wote na hauwezi mfukuza kwa kua wajukuu zako watalelewa na nani.
Sasa kama viongozi wetu wanatumia matumbo kufikiri unategemea nn? Kwenye mkataba wa dangote na serekali yako kulikuwa na Kipengele kinacho mlazimisha Dangote kununuwa Makaa ya Mawe Ng'aka?.......
 
Hii ndio shoda ya kufanya jambo usilo litambua
Kama wanavyojigamba kila uchao kwamba watatunyoosha, na kweli wanatunyoosha kwa umaskini. Ndo mana kila kitu wanabana.

labda ni tabia ya mtu mweusi hapendi mwenzake afanikiwe.
Si wameona wanyonge wanapata pesa ya sembe pale kwa Dangote.

Ni mwendo wa mguu upande mguu sawa for ten years
 
Eti kufunga sio rahisi. Akili za mkebe wa ugoro hizi. Hujaona viwanda vimekuwa relocated wewe? Hata vya nucler vinakuwa relocated sembuse ca cement? OK tuseme kitabaki, halafu hakizalishi, mtakiangalia kama sanamu ya makumbusho ama vipi?
Kwa taarifa yako hamna mfanyabiashara wa namna hiyo. Hata Tanzania hayuko,sembuse Dangote.

Shida ya nchi hii haijapata kuendeshwa na wasomi au wafanya biashara hata mara moja. Bora hata Nyerere japokuwa alikuwa mwalimu tu. Hebu fikiria waziri nae anafikiri vijiwe vya kufyatulia matofali ni eti ni kiwanda. Mtaji wake haizidi milion 5. Eti hicho ni kiwanda. Halafu debe kuubwa viwnda viwanda viwanda. Hebu msituchoshe bure masikio yetu bure.

NINGEKUWA MIMI NINGEFANYA HAYA.
  • Review sera ya viwanda na mrengo wa uchumi uwe ni industrial based. SASA HIVI NI AGRICULTURE BASED.
  • Kufatia hapo natengeneza mazinigira ya kuvutuitia viwanda NIKIZINGATIA FACTOR AFFECTING DEVELOPEMENT za kiwanda.mfano ardhi,power, market vis vis the imported products, sarifishaji hususan railway na barabara etc
  • Halafu namweka Waziri ajuaye hili somo, atakayetengeza mazingira ya administration rafiki.Atakayeweza kuunda consultion department kila mkoa kwa ajili hiyo. INORMATION CENTRES etc.
  • Huku naendelea kuzalisha wasomi wa fani hii. Industrial Management, Prodduction manegers, engineers, technicians etc
  • Natengeneza pilot industries kila mkoa. VYA MFANO TUU.
  • Halafu napiga debe watu wenye pesa waanze viwanda
  • Mwisho nawezesha fedha mfukono.....purchasing power
  • Then naweka mikono mfukoni huku nikipiga mluzi ...
Lakini sasa hivi viwanda ni ahadi za kuomba kura ambazo na hewa tu kama zile za kugawa pesa vijinini.
 
Mwache aende. Hana impact. Kwa mwaka mmoja aliokuwepo hapa nchini ametusaidia nin?
 
Mimi nitasimama upande wa serikali hadi mwisho hata kama wanakosea maana kuna facts ndani ya maelezo ya serikali;
1. Vipi wawekezaji wengine wanapata incentives kama hizo, je hapo kuna fair competition?
2. Wawekezaji kwenye makaa ya mawe wakauze wapi makaa yao na uwekezaji wao ina maana hauna support yoyote
3. Vipi ajira kwa watumishi walio katika sekta ya makaa ya mawe?
4. Kutumia pesa za kigeni kuagiza makaa Africa kusini wakati hata kwetu yapo tena mengi na nafuu (shilingi inakosa nguvu)
5. Uwekezaji ambao hauna mpango wa win-win situation si rafiki kwa nchi yetu

Nabakia kuwa upande wa serikalo potelea mbali. Hii inawezekana hapa Tanzania pekee
 
Wakenya kama wamepa dangote instead Ya ARM ile ardhi Ya kitui its a grave mistake they have done
 
Ni pigo kubwa sana kwa Tanzania kuruhusu Jamaa kuondoka.....Tajiri hanuniwi ,viongozi viburi type ya kina muhongo na chizeba mnatuumiza watanzania kwakuwa nyie mnauwezo wa kujenga majumba ya milioni 600 na kununua cement hata kwa elfu 20 hivyo hamjali Jamaa akiondoka.

Kumbukeni ajira ngapi zitapotea kodi ngapi serikali itapoteza fursa ngapi zitapotea Jamaa akiondoka?
 
Mimi nitasimama upande wa serikali hadi mwisho hata kama wanakosea maana kuna facts ndani ya maelezo ya serikali;
1. Vipi wawekezaji wengine wanapata incentives kama hizo, je hapo kuna fair competition?
2. Wawekezaji kwenye makaa ya mawe wakauze wapi makaa yao na uwekezaji wao ina maana hauna support yoyote
3. Vipi ajira kwa watumishi walio katika sekta ya makaa ya mawe?
4. Kutumia pesa za kigeni kuagiza makaa Africa kusini wakati hata kwetu yapo tena mengi na nafuu (shilingi inakosa nguvu)
5. Uwekezaji ambao hauna mpango wa win-win situation si rafiki kwa nchi yetu

Nabakia kuwa upande wa serikalo potelea mbali. Hii inawezekana hapa Tanzania pekee

Kwahyo akiondoka hayo yote yatapatikana..[emoji23]
 
-->>WATEULE WAKE VICHWA NGUMU NDIO WALIOMWANGUSHA MFALME MANGUSHI...
::They are not specifics, wanandimi mbili.
::Kama rais wa kitaa, kaeni chini haraka mueleweshane,mtafute ufumbuzi,mambo yasonge mbele...
Mtalaumu bure recessive alleles kwa muonekano wa heterozygote wakati muonekano huo ni matokeo ya dominant allele ambayo sifa yake mojawapo kuu ni kufunika expression of recessive alleles.
 
Wakuu nawasalimu sana.
Dangote anaenda kenya, hiki kiwanda atakachojenga kenya ndio kile alichotaka kujenga kigoma ili ashike soko la Burundi na Congo, serikali kutoheshimu makubaliano ya kibiashara itatugharimu viwanda kuondoka ni kosa kubwa kwani katika viongozi wanaopiga kelele hakuna wa kuweza kugombana na yajiri level ya Dangote narudia tena hakuna sana tutaumia sisi.
Washauri hakikisheni mnamaliza matatizo forbes washatuandika vibaya hivyo kuweni makini ni rahisi kuwekeza malawi kuliko Tanzania.

Majority ya raw materials za viwanda vya cement kenya inatoka tanzania? aende tu
 
Natamani na bakhressa afunge kabisa viwanda vyote ili 2020 tukiwaambia kijani hawafai mtu aelewe kwa vitendo
 
Wakuu nawasalimu sana.
Dangote anaenda kenya, hiki kiwanda atakachojenga kenya ndio kile alichotaka kujenga kigoma ili ashike soko la Burundi na Congo, serikali kutoheshimu makubaliano ya kibiashara itatugharimu viwanda kuondoka ni kosa kubwa kwani katika viongozi wanaopiga kelele hakuna wa kuweza kugombana na yajiri level ya Dangote narudia tena hakuna sana tutaumia sisi.
Washauri hakikisheni mnamaliza matatizo forbes washatuandika vibaya hivyo kuweni makini ni rahisi kuwekeza malawi kuliko Tanzania.

nyie ndio mnaoishiwaga kuolewa wanaume wenzenu? kwa kukosa misimamo na kujiamini
 
Kwa maana hiyo hata mitambo aliyokwisha wekeza Tanzania ataondoka nayo?nipo gizani kidogo,,Kama ndivyo tutaendelea kuwa soko la bidhaa kutoka Kenya. But am sure,serikali italiweka sawa jambo hili kwani huenda likawa na mtazamo hasi kwa wawekezaji wengine waliitarajia kuja kuwekeza nchini kwetu.
 
Kugombana na Dangote ni kosa litakalotugharimu sana.Tajiri aina ya Dangote sio wa kufanyia mzaha hata kidogo.

Mwangwi wake utatuharibia sana kwenye harakati za kuifanya tanzania a friendly investment destination!
 
Back
Top Bottom