Dangote kamchoka Mama Samia, tumtume Nchimbi kuokoa uwekezaji!

Dangote kamchoka Mama Samia, tumtume Nchimbi kuokoa uwekezaji!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa.

Dangote hajawahi kumpenda fisadi Kikwete na familia yake.

Wakina Mama wameshaanza kuomba omba 10% jamaa kagoma. Pili ulalamishi yaani wanalalamika kwanini Rutto hajawaambia bila ya kujiuliza kwanini? Ni kwasababu Dangote hakutaka mafisadi wa Samia wawepo maana wangependa kufanya deal kwa siri kama ile ya DP World ya bandari ili wapewe chao sasa wamefungua deal mapema makusudi na Dangote anataka kuonyesha yeye hapendi ujinga. Mama anaongelwa Genz Z wa Kenya!!!
 
Tatizo upstairs ni empty set. Yaani siku ile yuko na Ruto watu walitaka kuficha sura zao.

Mwenzake anaongea uwekezaji na mikakati ya kujikwamua na uchumi wa kutegemea mfuta ya uarabuni yeye kaja na mambo ya kijinga kabisa.

Ile ni fedheha, ndio maana wenye akili walisita sana kukabidhi baada ya mwendazake kutwaliwa.
 
Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina likwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake che cement na kuomba omba rushwa.

Dangote hajawahi kumpenda fisadi Kikwete na familia yake.

Wakina Mama wameshaanza kuomba omba 10% jamaa kagoma
IMG-20260510-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom