Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Baada ya kuzidiwa na Madeni naona Aliko Ally Dangote anataka kuweka sawa vitabu vyake Debt to Capital balance kwa kutoa IPO (Initial Public Offer) ili kupata mtaji ambao utasaidia katika ku balance vitabu Mfanyabiashara huyu alishafungua Refinery yake Nigeria ambayo inachakata pipa 650,000/= kwa siku na ilimgharim $18-$20billion kiasi kikubwa cha fedha na uwezo wa nigeria ni kuzalisha pipa 1.4m-1.8m kwa siku hata hivyo kiwanda hicho mara nyingi kimekua kikinunua mafuta ghafi (crude oil) Marekani na wauzaji wengine.
Kwa wawekezaji ni Fursa nyingine hii kwani hisa za IPO huja na bei nzuri na ame plan kuziuza in-terms of United States Dollar. Katika refinery ya Africa Mashariki ana mpango wa kujenga yenye capacity kama ya Lagos Nigeria yaani inatarajiwa kuchakata pipa 650,000 kwa siku na Uganda uwezo wao ni kuzalisha makadirio ya pipa 230,000 kwa siku hivyo atakua anaagiza mafuta ghafi (crude oil) kutoka nchi nyingine au tutarajie nchi nyingine za africa mashariki kufanya exploration na kugundua mafuta na kuyachimba ili kuweza kuendana na mahitaji ya pipa 650,000 kwa siku.