Dangote: Kiwanda tunachotaka kina uwezo wa kuzalisha pipa 650,000 kwa siku, bado timu ya Wataalamu inafanya utafiti wapi patafaa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameweka wazi mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi (Refinery) kitakachohudumia ukanda wa Afrika Mashariki.

Akizungumza baada ya Mkutano na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam leo Mei 16, 2026, Dangote amesema, Kiwanda hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo mkubwa wa kusafisha pipa 650,000 kwa siku, na kuwa eneo la ujenzi huo hautegemei palipo na mafuta bali upatikanaji wa aina tofauti za mafuta ghafi

"Kiwanda hiki tunachotaka kukifanya hapa kina uwezo wa kuzalisha pipa 650,000 kwa siku. Ni kiwanda kikubwa sana," alisema Dangote. "Kama ilivyo kule Nigeria, hatukujenga pale palipo na mafuta, tunajenga sehemu ambayo unaweza kupata aina tofauti tofauti za mafuta ghafi. Haujengi kiwanda kwa kutegemea aina moja tu ya mafuta."

Aidha, Dangote amebainisha kuwa mradi huo hautakuwa wa mtu binafsi au nchi moja tu, bali utashirikisha serikali za Afrika Mashariki kama wanahisa na wamiliki wenza ikiwemo serikali ya Tanzania kuwa mshirika katika umiliki huo.

Soma pia

Naona amekutana na mkulu... wakayajenga......
Sio mbaya
 
Tanzania kuna migogoro ya kisiasa, hakuna muwekezaji hivi sasa atakuja kuwekeza uwekezaji wa maana, hata huyo Dangote itakuwa kuna njemba tu zilimtonya na kumuambia hali halisi...

Tena hayo mauaji ya Oct 29, ndio yameharibu kabisa... na asiwekeze tu Tanzania..
 
Tanzania kuna migogoro ya kisiasa, hakuna muwekezaji hivi sasa atakuja kuwekeza uwekezaji wa maana, hata huyo Dangote itakuwa kuna njemba tu zilimtonya na **** hali halisi...

Tena hayo mauaji ya Oct 29, ndio yameharibu kabisa... na asiwekeze tu Tanzania..
kenya asilimia kubwa ya vijana wamekengeuka nikama tabia ya afrika ya kusini inamea vichwani mwao

nakiona kiwanda kikijengwa tanzania kipindi hiki cha mama
 
Hilo neno “unaweza kupata aina tofauti tofauti za mafuta” lina ukakasi
Kule Nigeria baada ya kiwanda kukamilika serikali ilikataa kumuuzia mafuta na kulazimika kuanza kuagiza mafuta gafi sehemu zingine za Dunia
Anajua vizuri siasa za Africa, akija rais mwingine anakuja na Sera zake MPYA
 
Endelea kusubiri meli airport..

Kenya inaitwa Silicon Savannah, makampuni makubwa ya kiteknolojia duniani kama google, microsoft, visa n.k wamewekeza hapo na wanaendelea kuwekeza... wale sio nyumbu.. tatizo ccm wakiona kijana anajitambua mnataka kuwaua , katika zama hizi ongozeni wanyama wa mwituni na miti, vijana wa sasa sio nyumbu..

Huwezi kusema hawajitambui wakati kampuni zinazojielewa zimewekeza pale wakijua kuna wasomi..
 
Haina haja ya utafiti ni kenya panafaa
 
Tanzania kuna migogoro ya kisiasa, hakuna muwekezaji hivi sasa atakuja kuwekeza uwekezaji wa maana, hata huyo Dangote itakuwa kuna njemba tu zilimtonya na kumuambia hali halisi...

Tena hayo mauaji ya Oct 29, ndio yameharibu kabisa... na asiwekeze tu Tanzania..
Utakufa Huku unatokwa hedhi sababu ya chuki lofa wewe. Mgogoro wa kisiasa hapa tz umebaki nyumbani kwenu tu huko na unawahusi wewe na mumeo tu. Tanzania Haina migogoro, nyie nyumbu hamtaweza kamwe kuleta migogoro......mtaiacha Tz inang'aa milele na milele.

Kiwanda kitajengwa Tz, ukipata uchungu sana wa hili basi nenda tu kajifungue.
 
Hilo neno “unaweza kupata aina tofauti tofauti za mafuta” lina ukakasi
Kule Nigeria baada ya kiwanda kukamilika serikali ilikataa kumuuzia mafuta na kulazimika kuanza kuagiza mafuta gafi sehemu zingine za Dunia
Anajua vizuri siasa za Africa, akija rais mwingine anakuja na Sera zake MPYA
Means ku import kama anayoimport crude oil kutoka marekani kuhudumia kiwanda kilichopo Nigeria
 
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameweka wazi mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi (Refinery) kitakachohudumia ukanda wa Afrika Mashariki.

Akizungumza baada ya Mkutano na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam leo Mei 16, 2026, Dangote amesema, Kiwanda hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo mkubwa wa kusafisha pipa 650,000 kwa siku, na kuwa eneo la ujenzi huo hautegemei palipo na mafuta bali upatikanaji wa aina tofauti za mafuta ghafi

"Kiwanda hiki tunachotaka kukifanya hapa kina uwezo wa kuzalisha pipa 650,000 kwa siku. Ni kiwanda kikubwa sana," alisema Dangote. "Kama ilivyo kule Nigeria, hatukujenga pale palipo na mafuta, tunajenga sehemu ambayo unaweza kupata aina tofauti tofauti za mafuta ghafi. Haujengi kiwanda kwa kutegemea aina moja tu ya mafuta."

Aidha, Dangote amebainisha kuwa mradi huo hautakuwa wa mtu binafsi au nchi moja tu, bali utashirikisha serikali za Afrika Mashariki kama wanahisa na wamiliki wenza ikiwemo serikali ya Tanzania kuwa mshirika katika umiliki huo.

Soma pia
Kuna danadana inapigwa hapa na tutegemee goli la kupitia nyuma ya neti.
 
Baada ya kuambiwa kuwa dogo nae ataweka hapo hisa zake
 
Kwa Dangote hii kauli ya upatikanaji wa feedstock kwenye refinery ni muhimu kwake kabla ya kuamua kujenga.

Hiyo kauli ameiongelea akiwa Kenya na kurudia tena kwenye hii clip, lakini sisi wasikilizaji tuna interpretation zetu tofauti na mwekezaji anachoongea.

Ni hivi kabla ya yeye kuja kuwekeza kuna umuhimu wa political willingness kwanza ya sources za Mafuta au akienda Kenya kuna plan B.

That’s where you need to analyse on what it takes for his decision. Uhalisia wa huu mjadala na anachoongea Dangote ujinga mtupu.

Someone has to tell you the truth, you can’t be analytical kwa kutoa upuuzi tu kutoka kichwani kwako.

And me don’t have time to explain that but willing to point out stupidity.
 
Back
Top Bottom