Dangote: Mega corruption discouraged me from investing in Kenya

Dangote: Mega corruption discouraged me from investing in Kenya

for my experience Tz is more corrupt than any other state in Africa
 
Muulize Mnyeti alietoa rushwa kwa pesa ya serikali kununua madiwani Arusha!

Pia muulize Bashite!

Sijui hawa kama walishawahi fika hata kituo cha polisi kwa mahojiano tu!

Im waiting
Nenda jukwaa la siasa ukaongelee hizi pumba zisizo na supporting documents rather than mere words
 
At least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.
Acha uongo..

Ufisadi Tanzania upo sana tu..

Serikali ya sasa ya Dikteta haipo transparent kabisa kwenye mambo yake na ukishaona there's no transparency ujue UFISADI LAZIMA..

Mfano hizi i ndege alizonunua kama ananunua karanga kwa Mangi zote ni UFISADI MTUPU..

Mambo mengi ya pesa anaidhinisha yeye mwenyewe badala ya Bunge.. Utakosekana Ufisadi hapo??

Eti Tanzania kwa miaka miwili hii tumepumua, jinga kama jina lako..!!

Hivi ukishakuwa CCM kichwani lazima akili zifyatuke eehh??

Jambo moja zuri na muhimu sana ni kwamba watu wote wanaelewa ushenzi wote unaofanywa na serikali yake isipokuwa wachache waliojitoa fahamu kufa na tai shingoni kama wewe.
 
Ufisadi gani umefanyika kwenye ndege ?? Twambie ni shillingi ngapi zimeibiwa ! No research no right to speak
 
At least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.
Kweli kabisa. Sasa hivi utaskia tu kila kitu anazindua yeye, sijui ndege itamsaidia nani, tutashtakiwa MIGA. Ila ule upuuzi wa mil 20 hela ya mboga husikii siku hizi. Bravo JPM
 
Ufisadi gani umefanyika kwenye ndege ?? Twambie ni shillingi ngapi zimeibiwa ! No research no right to speak
Kwendraaa huko na wewee punga..
Kwanini hakufuata procedure za manunuzi??
Alikuwa anaficha nini??
Wapi ndege zinanunuliwa kwa pesa taslimu na unalipa gharama zote kwa mkupuo mmoja??
Mjinga wewe.
 
At least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.
Ufisadi nadhani umebadili mwelekeo! Awali ufisadi ulikuwa unakula kwenye mali na utajiri wa Taifa na kunufaisha watu walafi wachache!! Kwa sasa ufisadi unakula kwa watu na "kulinufaisha" taifa! Ndiyo!!, kwani kubadili tarehe ya promotion kwa mtu toka 2015 na kuwa April mosi 2018, huyo mtumishi wa umma si anakuwa amefisadiwa? atakuwa amefisadiwa malimbikizo ya mishahara!! na anayefaidika na ufisadi huo ni nani? Kwani kuna atakayejifanya hajui kuwa lengo la kubadilisha tarehe ya promosheni ni kuwafisadi watumishi malimbikizo halali ya mishahara yao!!!! Hivi unafikiri kwa kufanya hivyo siri-kali "imeokoa" bilioni ngapi? Aheri usijue maana ukijua utayachukia hata hayo "maendeleo" ambayo yatafanywa na hizo pesa "zilizookolewa"
 
Kwendraaa huko na wewee punga..
Kwanini hakufuata procedure za manunuzi??
Alikuwa anaficha nini??
Wapi ndege zinanunuliwa kwa pesa taslimu na unalipa gharama zote kwa mkupuo mmoja??
Mjinga wewe.
Wewe ndo punga usiekuwa na malinda. Naona unaharisha tu humundania. Unapo nunua kwa installment ndege kuna pesa inaongezeka. Kama pesa ipo kwa nini tusinunue kwa cash. Naona Mbowe kakushika sana matako
 
Back
Top Bottom