Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda jukwaa la siasa ukaongelee hizi pumba zisizo na supporting documents rather than mere wordsMuulize Mnyeti alietoa rushwa kwa pesa ya serikali kununua madiwani Arusha!
Pia muulize Bashite!
Sijui hawa kama walishawahi fika hata kituo cha polisi kwa mahojiano tu!
Im waiting
Acha uongo..At least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.
Ufisadi gani umefanyika kwenye ndege ?? Twambie ni shillingi ngapi zimeibiwa ! No research no right to speakAcha uongo..
Ufisadi Tanzania upo sana tu..
Serikali ya sasa ya Dikteta haipo transparent kabisa kwenye mambo yake na ukishaona there's no transparency ujue UFISADI LAZIMA..
Mfano hizi i ndege alizonunua kama ananunua karanga kwa Mangi zote ni UFISADI MTUPU..
Mambo mengi ya pesa anaidhinisha yeye mwenyewe badala ya Bunge.. Utakosekana Ufisadi hapo??
Eti Tanzania kwa miaka miwili hii tumepumua, jinga kama jina lako..!!
Hivi ukishakuwa CCM kichwani lazima akili zifyatuke eehh??
Jambo moja zuri na muhimu sana ni kwamba watu wote wanaelewa ushenzi wote unaofanywa na serikali yake isipokuwa wachache waliojitoa fahamu kufa na tai shingoni kama wewe.
From Where did you get that experience?for my experience Tz is more corrupt than any other state in Africa
Kweli kabisa. Sasa hivi utaskia tu kila kitu anazindua yeye, sijui ndege itamsaidia nani, tutashtakiwa MIGA. Ila ule upuuzi wa mil 20 hela ya mboga husikii siku hizi. Bravo JPMAt least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.
Kwendraaa huko na wewee punga..Ufisadi gani umefanyika kwenye ndege ?? Twambie ni shillingi ngapi zimeibiwa ! No research no right to speak
Waapuuzi sana hao. Wanamsikiliza yule nwenye akili ndogo instagramUtasikia Malimbukeni wakisema kenya inaweka mazingira Rafiki ya uwekezaji. Nawawekezaji kama dangote wanaihepa kenya
Ufisadi nadhani umebadili mwelekeo! Awali ufisadi ulikuwa unakula kwenye mali na utajiri wa Taifa na kunufaisha watu walafi wachache!! Kwa sasa ufisadi unakula kwa watu na "kulinufaisha" taifa! Ndiyo!!, kwani kubadili tarehe ya promotion kwa mtu toka 2015 na kuwa April mosi 2018, huyo mtumishi wa umma si anakuwa amefisadiwa? atakuwa amefisadiwa malimbikizo ya mishahara!! na anayefaidika na ufisadi huo ni nani? Kwani kuna atakayejifanya hajui kuwa lengo la kubadilisha tarehe ya promosheni ni kuwafisadi watumishi malimbikizo halali ya mishahara yao!!!! Hivi unafikiri kwa kufanya hivyo siri-kali "imeokoa" bilioni ngapi? Aheri usijue maana ukijua utayachukia hata hayo "maendeleo" ambayo yatafanywa na hizo pesa "zilizookolewa"At least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.
Wewe ndo punga usiekuwa na malinda. Naona unaharisha tu humundania. Unapo nunua kwa installment ndege kuna pesa inaongezeka. Kama pesa ipo kwa nini tusinunue kwa cash. Naona Mbowe kakushika sana matakoKwendraaa huko na wewee punga..
Kwanini hakufuata procedure za manunuzi??
Alikuwa anaficha nini??
Wapi ndege zinanunuliwa kwa pesa taslimu na unalipa gharama zote kwa mkupuo mmoja??
Mjinga wewe.