Dangote watangaza ongezeko la bei Ya cement uhaba wa dola watajwa.

Dangote watangaza ongezeko la bei Ya cement uhaba wa dola watajwa.

Kwa kasi hii ya ongezeko la bei za bidhaa na huduma muhimu halafu watumishi wanaambulia annual increment isiyozidi elf 30, hivi kweli serikali iko serious kujali hali za watumishi wake? halafu TUCTA wapo tu kufuata upepo na kutafuna pesa za wafanyakazi.​
 
Chukua mshahara wako ubadilishe kwa dollar uone
 
Mfano wewe ungefanyaje ili dollar isipande?
20230613_230548.jpg
 
Back
Top Bottom