Dani Alves ajitetea kuhusu Cavani.

Dani Alves ajitetea kuhusu Cavani.

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
20170920_203349.jpg

Unafiki ni kitu kibaya munoo. End of the day unaumbuka live.

Kwa kitendo walichomfanyia CAVAN.ni dhahili kuwa wabrazili ni wabaguzi aise. Dani Alves anamnyang'anya mpira Cavani alafu anampatia Neimar apige kama sio ubaguzi ni nini!!! Haki iko wapi?? Au ndio kumtafutia ufalme neimar.hatuwataki tena waje Barcelona nuksi tu.

Wachukuwe funzo kutoka taifa jirani ARGENTINA n.k

Cjaona mastaa wa kiargentina waliopita na wasasa wakileta ushenzi ka huo.

Cavani,Mbappe na De maria nawatakia kila la heli.na musiwaachie hao wabaguzi wafanye wanavyotaka!!!

Karibuni wadau! Heshima kwenu.
 
Neno RACISM umelitumia kimakosa....

Racism ni ubaguzi lkn wa RANGI, sidhani kama Cavani amebaguliwa kwa sababu ya rangi yake
 
6065e9884d34ad19614e4cd391d7cc26.jpg
hiki kishoga kinamatatzo sana
 
Upande wangu Nana wote Dani Alves na Neymer walimkosea Cavani .

Walipaswa kumwacha apige ule mpira,tena mwenye makosa makubwa kwangu alikua ni Alves kwani yeye ndie aliemnyang'anya mpira Cavani.

Dani Alves alikengeuka hakuonesha nidhamu stahiki.nashangaa kwenye sakata hili watu hawamuhusishi Sana wakati yeye ndie alieenda kinyume.

Nilifurahishwa na nidhamu alioionesha Cavani hakutaka kuleta ukorofi akatulia na kumuacha shetani apite.

Kwakumalizia Dani Alves na Neymer wanapaswa kumheshimu Cavani ametoka mbali na PSG na ameifanyia makubwa pia.
 
Kuna wafalme wachache Sana kwenye Soka na neymer hajafikia hadhi yakuitwa mfalme ni maoni yangu tu Mkuu.
Mawazo yako sio mabaya...

Lakini mabosi wa PSG na hata kocha mwenyewe anajua Neymar ndio mfalme mpyaa ndani ya PSG na Cavan asipolikubali hili mapema atakuwa na wakati mgumu hapo klabuni
 
Mawazo yako sio mabaya...

Lakini mabosi wa PSG na hata kocha mwenyewe anajua Neymar ndio mfalme mpyaa ndani ya PSG na Cavan asipolikubali hili mapema atakuwa na wakati mgumu hapo klabuni
Mfalme wa PSG ni cadabra na hata kuja kutokea mwingine

Ufalme hautafutwi kwa njia hiyo kwanini asiwaige akina messi na Ronaldo?
Najua watu watasema neymar ndio mchezaji ghali kwahyo Cavan ampishe
Mimi ninavyojua performance ya mchezaji uwanjani ndio inayomfanya kuwa mfalme and not otherwise

Neymar inabidi ajitume sana tena upande wa Ku score(maana huku ndio huangaliwa sana na sio show off) hapo huenda akawa mfalme otherwise ata feli kma wabrazil wengine machachali waliopita
 
Labda niulize umeanza kumfuatilia neymar tangu lini?
 
Neymar akiendelea hivyo atapotea kama robinho anae dai alikuwa idol wake!!
 
Alves na Neymar wametokea Fc Barcelona,kwa nini ukimbilie kwenye racism na si history ya wao kufahamiana kutokana na kuwa pamoja FCB?
 
una elewa maana ya racism lkn au una payuka
 
Tangu yupo Santos na game ya kwanza ilikuwa vs Barcelona

Neymar bado hajafika huko unapopasema
Well, sasa kama ulianza kumfuatilia tangu akiwa Santos basi utakuwa mnamfahamu vizuri.

Neymar amekuzwa katika mazingira yakuaminishwa kuwa yeye ni superstar tangu akiwa U-16. yaani ameanza kukuzwa na media pamoja na malegends kibao wa huko kwao bado mdogo sana na hata kwenye starting XI ya Santos ameingia akiwa na miaka 17.

Neymar alikuwa na mwenzake Ganzo na walikuwa hawazidiani kabisa kimpira lakini wabrazil walikuwa obsessed na neymar mpaka akina Pele wakaanza kumpigia chepuo awemo kwenye kikosi cha WC mwaka ule 2010.

Neymar ameanza kulinganishwa na akina messi kabla hata bado hajaja barcelona, amekuja ulaya medias za zote zitamkuza kama yeye ndio mfalme wa brazil wa sasa. Na hii imemjenga kisaikolojia kuamini kwamba yeye ni superstar na ni mechzaji wa kaliba ya messi na Cr7.

Anaweza asiwe mfalme ndio sawa, lakini kimakuzi mpaka anafikia hapa ukiongeza na dau alilonunuliwa pale PSG ni dhairi kabisa kwa sasa yeye ndie mfalme.

Halafu naona kama una Mu underrate hiv, kwanza unajua jezi yake imeweka record ya mauzo?
 
Mtake radhi Bwana King..king wa soccer anajulikana ni mmoja tu hapa duniani. Sasa uyo neimar anaingiaje kwenye kundi la ukingi??? Mbona watanzania wengi wetu twapenda kuwapaisha wachezaji pasipokubalika??
 
Wabrazili wabaguzi sana. Wajifunze kwa King messi,dybala,cr7, aguero,dembele,mbappe n.k
 
Back
Top Bottom