Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Unafiki ni kitu kibaya munoo. End of the day unaumbuka live.
Kwa kitendo walichomfanyia CAVAN.ni dhahili kuwa wabrazili ni wabaguzi aise. Dani Alves anamnyang'anya mpira Cavani alafu anampatia Neimar apige kama sio ubaguzi ni nini!!! Haki iko wapi?? Au ndio kumtafutia ufalme neimar.hatuwataki tena waje Barcelona nuksi tu.
Wachukuwe funzo kutoka taifa jirani ARGENTINA n.k
Cjaona mastaa wa kiargentina waliopita na wasasa wakileta ushenzi ka huo.
Cavani,Mbappe na De maria nawatakia kila la heli.na musiwaachie hao wabaguzi wafanye wanavyotaka!!!
Karibuni wadau! Heshima kwenu.