Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
bila shaka mnabanjuana siyo?hiki kishoga kinamatatzo sana
Kuna wafalme wachache Sana kwenye Soka na neymer hajafikia hadhi yakuitwa mfalme ni maoni yangu tu Mkuu.Tatizo akili ya cavani ni tofauti na akili waliyonayo wale mabosi wa PSG na wachezaji wengine wote wa PSG akiwemo neymar mwenyewe.
Watu wameshapata mfalme mpyaa ila yeye hataki kukubaliana na hilo.
Mawazo yako sio mabaya...Kuna wafalme wachache Sana kwenye Soka na neymer hajafikia hadhi yakuitwa mfalme ni maoni yangu tu Mkuu.
Mfalme wa PSG ni cadabra na hata kuja kutokea mwingineMawazo yako sio mabaya...
Lakini mabosi wa PSG na hata kocha mwenyewe anajua Neymar ndio mfalme mpyaa ndani ya PSG na Cavan asipolikubali hili mapema atakuwa na wakati mgumu hapo klabuni
Labda niulize umeanza kumfuatilia neymar tangu lini?Mfalme wa PSG ni cadabra na hata kuja kutokea mwingine
Ufalme hautafutwi kwa njia hiyo kwanini asiwaige akina messi na Ronaldo?
Najua watu watasema neymar ndio mchezaji ghali kwahyo Cavan ampishe
Mimi ninavyojua performance ya mchezaji uwanjani ndio inayomfanya kuwa mfalme and not otherwise
Neymar inabidi ajitume sana tena upande wa Ku score(maana huku ndio huangaliwa sana na sio show off) hapo huenda akawa mfalme otherwise ata feli kma wabrazil wengine machachali waliopita
Tangu yupo Santos na game ya kwanza ilikuwa vs BarcelonaLabda niulize umeanza kumfuatilia neymar tangu lini?
Well, sasa kama ulianza kumfuatilia tangu akiwa Santos basi utakuwa mnamfahamu vizuri.Tangu yupo Santos na game ya kwanza ilikuwa vs Barcelona
Neymar bado hajafika huko unapopasema
Well, sasa kama ulianza kumfuatilia tangu akiwa Santos basi utakuwa mnamfahamu vizuri.
Neymar amekuzwa katika mazingira yakuaminishwa kuwa yeye ni superstar tangu akiwa U-16. yaani ameanza kukuzwa na media pamoja na malegends kibao wa huko kwao bado mdogo sana na hata kwenye starting XI ya Santos ameingia akiwa na miaka 17.
Neymar alikuwa na mwenzake Ganzo na walikuwa hawazidiani kabisa kimpira lakini wabrazil walikuwa obsessed na neymar mpaka akina Pele wakaanza kumpigia chepuo awemo kwenye kikosi cha WC mwaka ule 2010.
Neymar ameanza kulinganishwa na akina messi kabla hata bado hajaja barcelona, amekuja ulaya medias za zote zitamkuza kama yeye ndio mfalme wa brazil wa sasa. Na hii imemjenga kisaikolojia kuamini kwamba yeye ni superstar na ni mechzaji wa kaliba ya messi na Cr7.
Anaweza asiwe mfalme ndio sawa, lakini kimakuzi mpaka anafikia hapa ukiongeza na dau alilonunuliwa pale PSG ni dhairi kabisa kwa sasa yeye ndie mfalme.
Halafu naona kama una Mu underrate hiv, kwanza unajua jezi yake imeweka record ya mauzo?