Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Du professional wrestlers wengi wao hufa wakiwa hawajavuka miaka hamsini.
Inasikitisha sana maana nilikuwa mpenzi wa mieleka miaka ya 80 na wengi niliokuwa nawajua wamepoteza maisha kwa ajili ya kufanya kazi za ziada na utumiaji wa madawa.
Chris benoit alikufa akiwa na umri wa miaka 40 tu mwaka 2007 alipomuuwa mke wake kwa kumnyonga halafu kumuuwa mwanae na yeye kujinyonga.
Brain concussion ilikuwa sababu hivyo kumpelekea kupoteza kumbukumbu (dementia) alikuwa mpiganaji mzuri sana.