Daniel Bryan atangaza rasmi kustaafu WWE

Daniel Bryan atangaza rasmi kustaafu WWE

Du professional wrestlers wengi wao hufa wakiwa hawajavuka miaka hamsini.

Inasikitisha sana maana nilikuwa mpenzi wa mieleka miaka ya 80 na wengi niliokuwa nawajua wamepoteza maisha kwa ajili ya kufanya kazi za ziada na utumiaji wa madawa.

Chris benoit alikufa akiwa na umri wa miaka 40 tu mwaka 2007 alipomuuwa mke wake kwa kumnyonga halafu kumuuwa mwanae na yeye kujinyonga.
Brain concussion ilikuwa sababu hivyo kumpelekea kupoteza kumbukumbu (dementia) alikuwa mpiganaji mzuri sana.
 
Mi kinachoniacha hoi ni ile ngumi ya shingo bhana....Ikikupata we c unaitwa marehemu sahizi?
Juzi jumapili kwenye extreme rules alimpiga AJ styles na timu yake akatetea mkanda wake wa WWE, vita kati ya kichaa Dean Ambrose na Chris Jericho nayo ilikua Kali zaidi, Ambrose alimpiga Jericho kwenye vita Kali sana.
 
Da brie bella mumewe uyo no no no no yes yes yes yes atamumic ndani ya wwe
 
June 19 katka Money in the Bank ppv ni Roman Reigns vs Seth Rollins kuwania WWE World Heavyweight Championship. Mkanda huu mpaka sasa unashikiliwa na Reigns. Shane McMahon ametangaza hivyo jana kwenye Monday night Raw.
 
Back
Top Bottom