Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mi kinachoniacha hoi ni ile ngumi ya shingo bhana....Ikikupata we c unaitwa marehemu sahizi?Mi pia namkubali sana
View attachment 350154
Mkali wao huyo, ana ngumi jiwe[emoji109]
Lile ni jeshi la mtu mmoja ni mbishi sana jamaa na uwa namfananisha na under taker enzi zakeMi kinachoniacha hoi ni ile ngumi ya shingo bhana....Ikikupata we c unaitwa marehemu sahizi?
Kanywe nae ChaiI like roman reign..i really like him!
Juzi jumapili kwenye extreme rules alimpiga AJ styles na timu yake akatetea mkanda wake wa WWE, vita kati ya kichaa Dean Ambrose na Chris Jericho nayo ilikua Kali zaidi, Ambrose alimpiga Jericho kwenye vita Kali sana.Mi kinachoniacha hoi ni ile ngumi ya shingo bhana....Ikikupata we c unaitwa marehemu sahizi?
Tatizo sukariKanywe nae Chai
Miwa ipoTatizo sukari