Daniel Cadena kwa alivyoshusha ubora wa makipa. Na figisu zake akibaki Simba hakuna kocha atakaetoboa pale naapa!!!...

Una Shauri Vipi Shabiki Yetu??Tumtimue na Yeye kupooza Machungu au??
 
Zile goli tano zimetufanya simba tumepoteana km kuku waliokatwa vichwa
 
Nasikia harufu ya roho mbaya hapa!!
 
Hakuna timu yuoyote duniani ambayo haiwezi kufungwa goli nyingi katika maisha yake yote!
 
Zile goli tano zimetufanya simba tumepoteana km kuku waliokatwa vichwa
Ni ujinga tu!! Hakuna chochote cha ajabu kufungwa goli 5!! Man U, Arsenal, Real Madrid, Barcelona, Liverpool, Man city, Yanga na wengineo pia walishawahi kupata kipigo kama hicho na zaidi ya hicho lakini maisha yaliendelea!!
 
Game nyingi za far rabat msimu uliopita ye alikuwa golini, kama sikosei kacheza mpaka berkane ile iliyokua nchini hapa.
Mkuu makaveli10 Salam.
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba Keeper Ayoub alifanya vizuri sana huko Far Rabat kiasi cha kuwashawishi kumuuza kuja Simba Sc. Je hiyo imekaa vizuri kweli?
Ahsante
 
Wewe unaujua mpira yule kipa ni mbovu kupita kiasi hana hadhi hata ya Simba SC B, Ayoub kafanyiwa figusu mbaya hadi sasa yupo kama kopo
Kwa Ayub kufanyiwa Figisu, mnamsingizia Ally wa watu.
 
Ni ujinga tu!! Hakuna chochote cha ajabu kufungwa goli 5!! Man U, Arsenal, Real Madrid, Barcelona, Liverpool, Man city, Yanga na wengineo pia walishawahi kupata kipigo kama hicho na zaidi ya hicho lakini maisha yaliendelea!!
 
Leo nakumbushia tu hakuna kocha atatoboa kufanya kazi na cadena. Anaharibu viwango vya makipa kwa kuwarusha kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…