Kwani hujui kuwa wakuu wa wilaya siku hizi wengi wanatembelea V8?Naye atatembelea V8
Nalog off
Comment yake naona kaiondoa baada ya kuja kuona kumbe CCM ina wenyewe na kupigapiga kelele huku mwisho wake ni fedheha tuMbona hueleweki, unasifia uteuzi au umenuna?
Hii kitu nimehisi, kuna kauli aliitoa Samia akadai bado kuna wengine wanafuata, wale Covid inawezekana wanaelekea huko.Ni jambo jema.
Sasa Halima James Mdee wakati wowote atachukua kadi ya CCM!
Mmeanza.Ndie alikuwa DC Kinondoni, jamaa yupo cool sana naona Samia anaweka watu wa aina yake.
Mama wameamua kubomoa ngome na makundi. Huyu ndiyo kiongozi. Tanzania mpya na CCM mpya hiyo. Na baadaye tunapata CC mpya leo leo. Zege halilali.
Jambo gani limekusukuma!?Nilimpinga sana JPM, nahisi nitamkumbuka Siku sio mingi
Mama wameamua kubomoa ngome na makundi. Huyu ndiyo kiongozi. Tanzania mpya na CCM mpya hiyo. Na baadaye tunapata CC mpya leo leo. Zege halilali.
Kumbe ndo huyu. Basi makonda atakua ameumia sanaHuyu SG wa CCM mpya nakumbuka enzi makonda ni RC amewahi kumkoromea live...now kibao kimegeuka.. kweli hujafa hujaumbika.
Kama humjui Chongolo wewe huishi Kinondoni bwashee.Watu hawa sijui wanachaguliwa vipi. Mtu akipewa kazi ama,kwa mfano Mkuu wa Wilaya,huo so ndio wakati wa kufanya mambo ili watu wamfahamu?