Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Wakuu, Ni Nani anakumbuka sekreterieti ya Kwanza Ya Jpm? Kbla Ya Kuja Akina Dr. Bashiru na Pole²???
 
Kishasema yeye na dhalimu ni kitu kimoja hivyo tusitegemee lolote la maana na Kikwete alitamka hadharani kwamba ccm kuna mafisi.
Mama wameamua kubomoa ngome na makundi. Huyu ndiyo kiongozi. Tanzania mpya na CCM mpya hiyo. Na baadaye tunapata CC mpya leo leo. Zege halilali.
 
Watu hawa sijui wanachaguliwa vipi. Mtu akipewa kazi ama,kwa mfano Mkuu wa Wilaya,huo so ndio wakati wa kufanya mambo ili watu wamfahamu?
 
Watu hawa sijui wanachaguliwa vipi. Mtu akipewa kazi ama,kwa mfano Mkuu wa Wilaya,huo so ndio wakati wa kufanya mambo ili watu wamfahamu?
Kama humjui Chongolo wewe huishi Kinondoni bwashee.

Jamaa anasali pale kwa mchungaji Mastai KKKT kimara!
 
Back
Top Bottom