Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
CV ndogo sana hiyo hamna kitu
 
Mkuu YEHODAYA, hiyo ndio siasa ya IT bila jicho la tatu utapata shida sana. Kubali matokeo
Huyu Chongolo ndie katibu mkuu wa kwanza mwenye CV weak toka TANU na CCM vianzishwe.Makatibu wakuu waliomtangulia walikuwa na very strong CV
 
Umofia kwenu ndugu....

Mwenye CV ya katibu mkuu mpya wa CCM ni vema akatuwekea hapa nasi tupate kumjua ndugu Daniel Chongolo aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni.

Si mbaya tukapata wasifu wa viongozi wetu.

Ahsanteni.
Mdogo wetu huyu.
 
Mkuu maccm ni wale wale sitegemei kuona jipya lolote zaidi ya mauza mauza ya miaka nenda miaka rudi. Katiba ile ile iliyombeba yeye kuingia Ikulu kwenye COVID-19 anapiga kimya. Kuhusu kilio kikubwa cha Watanzania cha kupata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi bado ANADEMKA.
Zaidi ya overhaul , mama ameamua ku dismantle kabisa machinery ya magu.
 
Lakini si umesema vetting iliyoko Sasa CCM ni ya kufa mtu, Sasa kama ndo kweli iko hivyo kwa nini wanateuliwa watu wasiofaa kama huyu Chongolo?! Au we muongo kuwa sio kweli kwamba vetting ya ccm Ni ya kufa mtu
Imeingiliwa Lakini in short Chongolo no no no no
 
Umofia kwenu ndugu....

Mwenye CV ya katibu mkuu mpya wa CCM ni vema akatuwekea hapa nasi tupate kumjua ndugu Daniel Chongolo aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni.

Si mbaya tukapata wasifu wa viongozi wetu.

Ahsanteni.
Ebu muangalie hapo wakati yupo DC jinsi alivyo nyanyasika chini ya Makonda


..https://www.instagram.com/p/COSonihjuaz/?igshid=ou26aqgea067
 
Wacheni Mungu aitwe Mungu,Makonda aliwahi kumkoromea vibaya sana huyu jamaa, sasa leo hii Makonda alitaka kumuona lazima aombe appointment.View attachment 1769200
Makonda alimuogopa sana Chongolo kwa sababu aikuwa ni threat kwake. Kiuongozi, Chongolo yuko experienced sana kuliko Makonda, na kashika nafasi kubwa kwenye chama kuliko Makonda. Sikushangaa kwa tukio hili, ndio sababu DC alikaa kimya alivyofokewa. Ndivyo alivyo kwa tunaomjua
 
Huyu anakijua sana chama.na chama kiko damuni toka zamani.kumbe ccm wanawajua walio wa kwao
Jamaa ni silent operator, ndio sababu watu wanadhani ni mgeni kule CCM. Hawajui kwamba ndie aliekuwa mkurugenzi wa media za CCM, redio na magazeti na yuko chamani kitambo sana
 
Back
Top Bottom