MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Unayomwongelea alikuwa DC Ilala kabla ya kupelekwa Ikulu kwa "kazi maalum". Sio huyuAlikua naibu Mkuu wa Usalama wa Taifa. According to Kigogo2014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayomwongelea alikuwa DC Ilala kabla ya kupelekwa Ikulu kwa "kazi maalum". Sio huyuAlikua naibu Mkuu wa Usalama wa Taifa. According to Kigogo2014
Nimepishana naye muda huu Chalinze anarudi Kolomije...kkkkkkKwa hiyo Makonda ndiyo Basi tena?
uko sahihiTeuzi za design hii zinashusha hadhi ya vyeo vingine .... Zamani mtu akisikia Katibu Mkuu wa Chama anatetemeka.
Nivurugwe kwa kipi Chongolo sio hamna kitu loooYEHODAYA anatoa povu la kufa mtu pumbavu zake, yaani amevulugwa.
CV ndogo sana hiyo hamna kituDANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
Mkuu YEHODAYA, hiyo ndio siasa ya IT bila jicho la tatu utapata shida sana. Kubali matokeosina jina lakini Chongolo no no no no
Mw hata siwajua mkuiu, Nimesoma kwa Kigogo ndio maana nikasema According toUnayomwongelea alikuwa DC Ilala kabla ya kupelekwa Ikulu kwa "kazi maalum". Sio huyu
Huyu Chongolo ndie katibu mkuu wa kwanza mwenye CV weak toka TANU na CCM vianzishwe.Makatibu wakuu waliomtangulia walikuwa na very strong CVMkuu YEHODAYA, hiyo ndio siasa ya IT bila jicho la tatu utapata shida sana. Kubali matokeo
Mdogo wetu huyu.Umofia kwenu ndugu....
Mwenye CV ya katibu mkuu mpya wa CCM ni vema akatuwekea hapa nasi tupate kumjua ndugu Daniel Chongolo aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni.
Si mbaya tukapata wasifu wa viongozi wetu.
Ahsanteni.
Kimegeuka atampiga?Huyu SG wa CCM mpya nakumbuka enzi makonda ni RC amewahi kumkoromea live...now kibao kimegeuka.. kweli hujafa hujaumbika.
Zaidi ya overhaul , mama ameamua ku dismantle kabisa machinery ya magu.
Imeingiliwa Lakini in short Chongolo no no no noLakini si umesema vetting iliyoko Sasa CCM ni ya kufa mtu, Sasa kama ndo kweli iko hivyo kwa nini wanateuliwa watu wasiofaa kama huyu Chongolo?! Au we muongo kuwa sio kweli kwamba vetting ya ccm Ni ya kufa mtu
Ebu muangalie hapo wakati yupo DC jinsi alivyo nyanyasika chini ya MakondaUmofia kwenu ndugu....
Mwenye CV ya katibu mkuu mpya wa CCM ni vema akatuwekea hapa nasi tupate kumjua ndugu Daniel Chongolo aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni.
Si mbaya tukapata wasifu wa viongozi wetu.
Ahsanteni.
Makonda alimuogopa sana Chongolo kwa sababu aikuwa ni threat kwake. Kiuongozi, Chongolo yuko experienced sana kuliko Makonda, na kashika nafasi kubwa kwenye chama kuliko Makonda. Sikushangaa kwa tukio hili, ndio sababu DC alikaa kimya alivyofokewa. Ndivyo alivyo kwa tunaomjuaWacheni Mungu aitwe Mungu,Makonda aliwahi kumkoromea vibaya sana huyu jamaa, sasa leo hii Makonda alitaka kumuona lazima aombe appointment.View attachment 1769200
Jamaa ni silent operator, ndio sababu watu wanadhani ni mgeni kule CCM. Hawajui kwamba ndie aliekuwa mkurugenzi wa media za CCM, redio na magazeti na yuko chamani kitambo sanaHuyu anakijua sana chama.na chama kiko damuni toka zamani.kumbe ccm wanawajua walio wa kwao