Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Fafanua mkuu, WEAK how? Isije kuwa ni chuki binafsi tu zinakuandama. Hana elimu kama Kamonda ama? Hana uzoefu na chama? Hajaanzia UVCCM? Au kwa kuwa anafanya kazi zake bila kelele wala mbwembwe kama mwehu Kheri James ndio mnaona hafai?Huyu Chongolo ndie katibu mkuu wa kwanza mwenye CV weak toka TANU na CCM vianzishwe.Makatibu wakuu waliomtangulia walikuwa na very strong CV