Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Huyu Chongolo ndie katibu mkuu wa kwanza mwenye CV weak toka TANU na CCM vianzishwe.Makatibu wakuu waliomtangulia walikuwa na very strong CV
Fafanua mkuu, WEAK how? Isije kuwa ni chuki binafsi tu zinakuandama. Hana elimu kama Kamonda ama? Hana uzoefu na chama? Hajaanzia UVCCM? Au kwa kuwa anafanya kazi zake bila kelele wala mbwembwe kama mwehu Kheri James ndio mnaona hafai?
 
Ooooh kumbe basi ndie aliekuwa boss wa vijana wa buku7, ndio maana kuna mmoja anatoa povu.
uwezo huo hana looo .Hana uwezo wa kupambana mitandaoni narudia hana sembuse kuwa kiongozi wa wapiganaji wa kupigania CCM mitandaoni
 
Kama kapata kigugumuzi kuhusu katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na wale COVID-19 basi ujue hana jipya huyo uongo mwanzo mwisho, kulembua macho na KUDEMKA kati ya Dom, Dar na Zenj ndiyo mbele kwa mbele.
Wanaomtarajia mama afanye reform ya Nchii watasubiri sana mama ni MTU wa nadharia na mbaya zaidi inatangulia ccm kabla ya Nchi so hakuna jipya

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kutanguliza maccm badala ya Nchi ni makosa makubwa sana na itaendelea kuigharimu sana Tanzania kwa miaka mingi ijayo.
Wanaomtarajia mama afanye reform ya Nchii watasubiri sana mama ni MTU wa nadharia na mbaya zaidi inatangulia ccm kabla ya Nchi so hakuna jipya

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijui ninachokumbuka kuhusu Chongolo ni ile siku alipofokewa na DAUDI ALBERT BASHITE kama mtoto mdogo.

Chongolo alikuwa anamzoom tu dogo Bashite.

Swali hivi Bashite alikuwa anashinda Ikulu kwa baba yake JPM ila alikuwa hajui kuwa Chongolo ni Afisa Kipenyo mwenye cheo cha Senior Officer?

Bashite rudi Kolomije.
Alikua anajua.
 
Fafanua mkuu, WEAK how? Isije kuwa ni chuki binafsi tu zinakuandama. Hana elimu kama Kamonda ama? Hana uzoefu na chama? Hajaanzia UVCCM? Au kwa kuwa anafanya kazi zake bila kelele wala mbwembwe kama mwehu Kheri James ndio mnaona hafai?
Achana naye huyu YEHODAYA. Ukifuatilia comments zake humu utagundua ni Mtu aliye panic sana, nahisi Ni mmoja wa waliokuwa wanategemea hiyo nafasi na kama sio yeye basi alitegemea atateuliwa mmoja katika Timu yake.

KAJAA WIVU BALAA
 
Back
Top Bottom