Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
Huyu mshijaji hajawahi kuwa Radio Uhuru huyu....! Nakumbuka hii sura ! Baadaye TFDA...nakumhuka Mitaa ya London Pub External ,Kama siye Basi wanafanana kwa kiwango kikubwa!
 
Huyu mshijaji hajawahi kuwa Radio Uhuru huyu....! Nakumbuka hii sura ! Baadaye TFDA...nakumhuka Mitaa ya London Pub External ,Kama siye Basi wanafanana kwa kiwango kikubwa!
Yes Alikuwepo Mkuu Pale, Mitaa Hyo Ndio Ya Wana Kibao Utawakuta
 
kuhusu elimu sijui ila najua alikuwa mkuu wa usalama wa wilaya. Kutoka hapo ndio zikafuata hizi teuzi.

Ni mtu wa kazi bila vyombo vya habari, ni mtu serious kweli na kazi.

Ila huyu bwana amelelewa humo humo ndani. Baba yake alikuwa kipenyo mkubwa tu.

Ni mtu wa kawaida sana nje ya kazi nafahamiana nae
Kama unafahamiana nae basi mwambie ikitokea anaendesha mwenyewe gari basi aache tabia yake ya kuendesha kwa rafu vinginevyo kuna siku itamgharimu pakubwa.
 
Mmaafisa vipenyo wengi shule nehiiiii acha tu tunajuana wenyewe ni covering tu ya wazazi wao wapate ajira.....
Hawa wa sasa zamani walikuwa wanadakwa toka mashuleni wale waliokuwa na akili sana ndio waliingizwa huko
Tofauti na sasa vilaza na watoto wa vigogo
Bashite alijikomba kwa Mzee Sita
 
DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho

Kwa sasa, Chongolo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar.

Kichama, mkuu wa wilaya ni mwanachama wa kawaida. Ukatibu Mkuu ni nafasi kubwa sana. Kitendo cha kuchukua mwanachama wa kawaida kuwa mtendaji mkuu, Watendaji wa CCM wanatakiwa wajitafakari. Wakuu wa vitengo, makatibu wakuu wa mikoa ni aibu kwenu.
 
Mimi nilipinga uteuzi wa Bashiru Ally waziwazi na humu na napinga uteuzi wa chongolo sio sahihi kabisa .Let every body take note
Ni dharau kwa Watendaji walio sits kukihenyea chama. Kama ilivyokuwa kwa Bashiru, hii ni kuvuruga chama.
 
Kama unafahamiana nae basi mwambie ikitokea anaendesha mwenyewe gari basi aache tabia yake ya kuendesha kwa rafu vinginevyo kuna siku itamgharimu pakubwa.
Mkuu ni mpenzi mkubwa wa driving na ni moja ya hobby yake. Hayuko rafu huyo ni mnazi wa magari.
 
Mzee wake alikuwaga muleee akafika mbali mbali hivi ...sasa mtoto nae anapanda hivyo
Nimedokezwa kuwa Baba yake alikuwa ni 'Muadilifu' sana huko 'System' ila sijajua kwa Yeye huyu Mwana ( Mwanae )
 
Kama unafahamiana nae basi mwambie ikitokea anaendesha mwenyewe gari basi aache tabia yake ya kuendesha kwa rafu vinginevyo kuna siku itamgharimu pakubwa.
Hili limekuwa ni Tatizo Kubwa ( Sugu ) kwa Waandamizi wengi wa Idara ( SSIT ) na wengi Wao ama Wamekufa au kuwa Vilema kutokana na Uendeshaji wa 'Fujo' wa Magari yao. Heko kwa Kuliona hilo na Kutoa Angalizo Kwake Mkuu.
 
Aliuza mashine za magazeti ya uhuru kma skrepa na meko hakumfanya kitu
Namtetea na acha Uwongo wako Mkuu. Aliyeuza hivi sasa hayuko ( alikimbia Nchi ) na akirejea tu ana Kesi ya Kujibu.

Nina Mtu 'Muhimu' pale Jamana Printers na Mwingine 'Muhimu' sasa yuko katika Gazeti la Majira wanaujua huu 'Mchongo' wote.

Acheni Kumchafua tu mapema yote hii.
 
Malkia huyu huyu ambaye ni Malkia? Akisafiri nje ataendeleza juhudi za mwendazake kukikuza Kiswahili duniani au watampiga msasa wa nguvu.
😂😂😂
Lugha ya Malkia kwake ni changamoto
 
Back
Top Bottom