theDon c
Member
- Aug 28, 2020
- 84
- 28
Tatizo la wabongosina jina lakini Chongolo no no no no
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la wabongosina jina lakini Chongolo no no no no
Huyu mshijaji hajawahi kuwa Radio Uhuru huyu....! Nakumbuka hii sura ! Baadaye TFDA...nakumhuka Mitaa ya London Pub External ,Kama siye Basi wanafanana kwa kiwango kikubwa!DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
Yes Alikuwepo Mkuu Pale, Mitaa Hyo Ndio Ya Wana Kibao UtawakutaHuyu mshijaji hajawahi kuwa Radio Uhuru huyu....! Nakumbuka hii sura ! Baadaye TFDA...nakumhuka Mitaa ya London Pub External ,Kama siye Basi wanafanana kwa kiwango kikubwa!
Pumbavu.Acha chuki wewe, kanda ya ziwa ndiyo kanda ya maamuzi ya mstabari wa nchi, unaionaona tu kirahisi rahisi chunga sana
Kama unafahamiana nae basi mwambie ikitokea anaendesha mwenyewe gari basi aache tabia yake ya kuendesha kwa rafu vinginevyo kuna siku itamgharimu pakubwa.kuhusu elimu sijui ila najua alikuwa mkuu wa usalama wa wilaya. Kutoka hapo ndio zikafuata hizi teuzi.
Ni mtu wa kazi bila vyombo vya habari, ni mtu serious kweli na kazi.
Ila huyu bwana amelelewa humo humo ndani. Baba yake alikuwa kipenyo mkubwa tu.
Ni mtu wa kawaida sana nje ya kazi nafahamiana nae
Hawa wa sasa zamani walikuwa wanadakwa toka mashuleni wale waliokuwa na akili sana ndio waliingizwa hukoMmaafisa vipenyo wengi shule nehiiiii acha tu tunajuana wenyewe ni covering tu ya wazazi wao wapate ajira.....
Unataja kumuajiri?Mwenye cv yake tafadhali naiomba
Kichama, mkuu wa wilaya ni mwanachama wa kawaida. Ukatibu Mkuu ni nafasi kubwa sana. Kitendo cha kuchukua mwanachama wa kawaida kuwa mtendaji mkuu, Watendaji wa CCM wanatakiwa wajitafakari. Wakuu wa vitengo, makatibu wakuu wa mikoa ni aibu kwenu.DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho
Kwa sasa, Chongolo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar.
jamaa amepoteana kabisaKigogo halina taarifa makini tena siku hizi! Lipo lipo tu!
Ni dharau kwa Watendaji walio sits kukihenyea chama. Kama ilivyokuwa kwa Bashiru, hii ni kuvuruga chama.Mimi nilipinga uteuzi wa Bashiru Ally waziwazi na humu na napinga uteuzi wa chongolo sio sahihi kabisa .Let every body take note
Aliyekufahamisha utumie VPN mitandao ikizimwa ni nani?Nasikitika sana kuwa kuna watu wanaliamini hili likigogo... ama kweli ujinga hautaja isha
Mkuu ni mpenzi mkubwa wa driving na ni moja ya hobby yake. Hayuko rafu huyo ni mnazi wa magari.Kama unafahamiana nae basi mwambie ikitokea anaendesha mwenyewe gari basi aache tabia yake ya kuendesha kwa rafu vinginevyo kuna siku itamgharimu pakubwa.
Nimedokezwa kuwa Baba yake alikuwa ni 'Muadilifu' sana huko 'System' ila sijajua kwa Yeye huyu Mwana ( Mwanae )Mzee wake alikuwaga muleee akafika mbali mbali hivi ...sasa mtoto nae anapanda hivyo
Hili limekuwa ni Tatizo Kubwa ( Sugu ) kwa Waandamizi wengi wa Idara ( SSIT ) na wengi Wao ama Wamekufa au kuwa Vilema kutokana na Uendeshaji wa 'Fujo' wa Magari yao. Heko kwa Kuliona hilo na Kutoa Angalizo Kwake Mkuu.Kama unafahamiana nae basi mwambie ikitokea anaendesha mwenyewe gari basi aache tabia yake ya kuendesha kwa rafu vinginevyo kuna siku itamgharimu pakubwa.
Namtetea na acha Uwongo wako Mkuu. Aliyeuza hivi sasa hayuko ( alikimbia Nchi ) na akirejea tu ana Kesi ya Kujibu.Aliuza mashine za magazeti ya uhuru kma skrepa na meko hakumfanya kitu
Yaani sasa hivi ukimsoma vitu anavyolalamikia kama taahira vile! Mpaka anatia huruma!jamaa amepoteana kabisa
Lugha ya Malkia kwake ni changamoto
Ingia tu mwanangu sasa hivi ni zamu yenu! Chama kimerudi nyumbani, Kanda ya ziwa tunafanya kununa!Ni mjomba wangu, jana kanipigia simu mapema tu nikampongeza, sasa soon naingia Lumumba kama sebuleni,
Shida ya uadilifu kitengoni unatoka kapa kabisa baada hapo anasota tuuu wanakuwaga hali mbaya sanaa...Nimedokezwa kuwa Baba yake alikuwa ni 'Muadilifu' sana huko 'System' ila sijajua kwa Yeye huyu Mwana ( Mwanae )