Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa.
Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi misingi ya kiimani. Namna anavyozungumza na kujali hakika unaweza kuona wazi huyo bwana si mtu aliye na majivuno hata kwa nafasi kubwa aliyonayo ndani ya Chama.
Ukiachilia makandokando ya Makada wengi wa CCM lakini ni vigumu mno kwa Daniel kunyooshewa kidole kwa ufisadi japokuwa nafsi ya mtu aijuaye Mungu na yeye mwenyewe.
Heshima yangu juu yake Daniel.