Daniel Chongolo ni mtu muungwana na asiye mjivuni

Mzee wangu mbona asante nyingi sana mpaka mahali pasipotakiwa asante wewe unatoa asante?
Mkuu Sierra One, mimi ni mtu ninaye shukuru kwa yote, hivyo kila bandiko ninalosoma natoa like, sasa siku hizi kitufe cha like hakipo kipo cha thanks hivyo na kongoli thanks za kumwaga.
P
 
Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa.

Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi misingi ya kiimani. Namna anavyozungumza na kujali hakika unaweza kuona wazi huyo bwana si mtu aliye na majivuno hata kwa nafasi kubwa aliyonayo ndani ya Chama.

Ukiachilia makandokando ya Makada wengi wa CCM lakini ni vigumu mno kwa Daniel kunyooshewa kidole kwa ufisadi japokuwa nafsi ya mtu aijuaye Mungu na yeye mwenyewe.

Heshima yangu juu yake Daniel. View attachment 2362947

Sure huyu mtu yuko poa sana.,,!!!
Tumepiga nae kete mtaani sana!
Kijiweni hapa hana makuu!
 
Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa.

Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi misingi ya kiimani. Namna anavyozungumza na kujali hakika unaweza kuona wazi huyo bwana si mtu aliye na majivuno hata kwa nafasi kubwa aliyonayo ndani ya Chama.

Ukiachilia makandokando ya Makada wengi wa CCM lakini ni vigumu mno kwa Daniel kunyooshewa kidole kwa ufisadi japokuwa nafsi ya mtu aijuaye Mungu na yeye mwenyewe.

Heshima yangu juu yake Daniel. View attachment 2362947
Hivi wabena warefu hivi kumbe wako. Wabena huwa waaminifu sana.
 
Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa.

Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi misingi ya kiimani. Namna anavyozungumza na kujali hakika unaweza kuona wazi huyo bwana si mtu aliye na majivuno hata kwa nafasi kubwa aliyonayo ndani ya Chama.

Ukiachilia makandokando ya Makada wengi wa CCM lakini ni vigumu mno kwa Daniel kunyooshewa kidole kwa ufisadi japokuwa nafsi ya mtu aijuaye Mungu na yeye mwenyewe.

Heshima yangu juu yake Daniel. View attachment 2362947
Jamaa yupo simple, Cheo hakijamvaa na anapenda ukweli. Sio mbabaishaji
 
We Mkuu mrangi wa Drive In mafletini, mimi sikujipigia debe bali nilikisaidia chama changu kituteulie wagombea wazuri. Kwanza nilianzia na kutoa ushauri kwa chama changu Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
hivyo hilo swali ni kumjulisha KM kuwa "We are watching you"
Na kweli CCM, imetuteulia watu wazuri EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!
P
Paskali nataka sana watu aina yenu mteuliwe!
Sema mfumo sahv haitaki watu aina yenu,maana mnajuwa sana

Ova
 
Anajisikiaje vyama vingine vikiwa haviwezi kufanya mikutano ya hadhara huku yeye akifanya kila mahali anapotaka??
 
Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa.

Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi misingi ya kiimani. Namna anavyozungumza na kujali hakika unaweza kuona wazi huyo bwana si mtu aliye na majivuno hata kwa nafasi kubwa aliyonayo ndani ya Chama.

Ukiachilia makandokando ya Makada wengi wa CCM lakini ni vigumu mno kwa Daniel kunyooshewa kidole kwa ufisadi japokuwa nafsi ya mtu aijuaye Mungu na yeye mwenyewe.

Heshima yangu juu yake Daniel. View attachment 2362947
Siyo yeye tuu maofisa wote wa tiss ndiyo walivyo
 
Back
Top Bottom