Daniel Chongolo ni mtu muungwana na asiye mjivuni

Mzee wangu mbona asante nyingi sana mpaka mahali pasipotakiwa asante wewe unatoa asante?
Mkuu Sierra One, mimi ni mtu ninaye shukuru kwa yote, hivyo kila bandiko ninalosoma natoa like, sasa siku hizi kitufe cha like hakipo kipo cha thanks hivyo na kongoli thanks za kumwaga.
P
 

Sure huyu mtu yuko poa sana.,,!!!
Tumepiga nae kete mtaani sana!
Kijiweni hapa hana makuu!
 
Hivi wabena warefu hivi kumbe wako. Wabena huwa waaminifu sana.
 
Jamaa yupo simple, Cheo hakijamvaa na anapenda ukweli. Sio mbabaishaji
 
Paskali nataka sana watu aina yenu mteuliwe!
Sema mfumo sahv haitaki watu aina yenu,maana mnajuwa sana

Ova
 
Anajisikiaje vyama vingine vikiwa haviwezi kufanya mikutano ya hadhara huku yeye akifanya kila mahali anapotaka??
 
Siyo yeye tuu maofisa wote wa tiss ndiyo walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…