Dann Sserenkuma kuvunja mkataba na Simba SC, Uchawi watajwa kuwa sababu

Usijali kanda mbili utaelewa tu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mkuu huna aibu kabisa. Wenzako wanasoma na kupita tu.

Imeshajulikana ninyi ni Mapepo ya kuzimu yanayo shiriki ligi Kuu Tanzania bara.
 
[h=2]Alichosema Sserunkuma kuhusu Uchawi Simba[/h]
Kitaifa
March 19th, 2015
0 Comments
4 Views

Na. Richard Bakana , Dar es Salaam
Mshambuliaji wa klabu ya Simba pamoja na Timu ya Taifa ya Uganda, Dan Sserunkuma, amefunguka ya moyoni kuhusiana na ushirikina na kusema kuwa, Hajawahi kuambiwa na uongozi wa timu juu ya kutumia maswala hayo licha yakuwa Imani yake hairuhusu Ushirikina. Nyota huyo ambaye alikuwa ni mfungaji bora wa ligi kuu ya Kenya kwa misimu miwili iliyopita mfululizo akiwa Gor Mahia, Amesema hayo leo kupitia akaunti yake ya Twitter na kusema kuwa bado anaipenda Simba wala hafikilii kuondoka Msimbazi."Napenda kusema yafuatayo, Ninafuraha kuwa Simba, Sitaki kuondoka Simba, Sijawahi kulalamika kubaguliwa Simba, Sijawahi kulazimishwa na uongozi kutumia Uchawi kama ambavyo siamini" Ameandika Sserunkuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Source: Shaffih Dauda Blog
 

Shaffih Dauda ana tofauti gani na wewe....!

Kwani yeye ni nani, mpaka kila kitu atachosema tukiamini...
 

Timu ambayo ilikaribia kufungiwa gest house Tanga. Timu ambayo ililazimika kucheza ndondo Kahama kupata fedha za kujikimu. Timu ambayo.........!!!
 
Timu ambayo ilikaribia kufungiwa gest house Tanga. Timu ambayo ililazimika kucheza ndondo Kahama kupata fedha za kujikimu. Timu ambayo.........!!!

timu ambayo inatumia ushirikina kushinda,timu ambayo inawanachama mambumbumbu,timu ambayo inanunua marefa ili ishinde,timu ambayo ikiifunga yanga inahisi imechukua ubingwa,timu ambayo inabebwa na viongozi wa TFF,timu ambayo........
 
Halafu watu wanashangaa fuvu la binadamu kukutwa kwenye pitch taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…