Dann Sserenkuma kuvunja mkataba na Simba SC, Uchawi watajwa kuwa sababu

Dann Sserenkuma kuvunja mkataba na Simba SC, Uchawi watajwa kuwa sababu

Usijali kanda mbili utaelewa tu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mkuu huna aibu kabisa. Wenzako wanasoma na kupita tu.

Imeshajulikana ninyi ni Mapepo ya kuzimu yanayo shiriki ligi Kuu Tanzania bara.
 
[h=2]Alichosema Sserunkuma kuhusu Uchawi Simba[/h]
Kitaifa
March 19th, 2015
0 Comments
4 Views

Na. Richard Bakana , Dar es SalaamMshambuliaji wa klabu ya Simba pamoja na Timu ya Taifa ya Uganda, Dan Sserunkuma, amefunguka ya moyoni kuhusiana na ushirikina na kusema kuwa, Hajawahi kuambiwa na uongozi wa timu juu ya kutumia maswala hayo licha yakuwa Imani yake hairuhusu Ushirikina. Nyota huyo ambaye alikuwa ni mfungaji bora wa ligi kuu ya Kenya kwa misimu miwili iliyopita mfululizo akiwa Gor Mahia, Amesema hayo leo kupitia akaunti yake ya Twitter na kusema kuwa bado anaipenda Simba wala hafikilii kuondoka Msimbazi."Napenda kusema yafuatayo, Ninafuraha kuwa Simba, Sitaki kuondoka Simba, Sijawahi kulalamika kubaguliwa Simba, Sijawahi kulazimishwa na uongozi kutumia Uchawi kama ambavyo siamini" Ameandika Sserunkuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Source: Shaffih Dauda Blog
 
[h=2]Alichosema Sserunkuma kuhusu Uchawi Simba[/h]
Kitaifa
March 19th, 2015
0 Comments
4 Views

Na. Richard Bakana , Dar es SalaamMshambuliaji wa klabu ya Simba pamoja na Timu ya Taifa ya Uganda, Dan Sserunkuma, amefunguka ya moyoni kuhusiana na ushirikina na kusema kuwa, Hajawahi kuambiwa na uongozi wa timu juu ya kutumia maswala hayo licha yakuwa Imani yake hairuhusu Ushirikina. Nyota huyo ambaye alikuwa ni mfungaji bora wa ligi kuu ya Kenya kwa misimu miwili iliyopita mfululizo akiwa Gor Mahia, Amesema hayo leo kupitia akaunti yake ya Twitter na kusema kuwa bado anaipenda Simba wala hafikilii kuondoka Msimbazi.“Napenda kusema yafuatayo, Ninafuraha kuwa Simba, Sitaki kuondoka Simba, Sijawahi kulalamika kubaguliwa Simba, Sijawahi kulazimishwa na uongozi kutumia Uchawi kama ambavyo siamini” Ameandika Sserunkuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Source: Shaffih Dauda Blog

Shaffih Dauda ana tofauti gani na wewe....!

Kwani yeye ni nani, mpaka kila kitu atachosema tukiamini...
 
Timu ambayo inamlipa mchezaji wake Okwi 5.3m kwa mwezi, unasemaje "kuna njaa"?
Timu ambayo juzi juzi ilmkabidhi 80m mkude na kudouble mshahara wake, huoni aibu kusema "kuna njaa"?
Timu ambayo inaendelea kumlipa kiongera mshahara mnono japo imemuondoa katka list ya wachezaji iliyowasajili, unapataja wapi nguvu ya kusema "kuna njaa"?
Timu ambayo ilitumia zaidi ya 80m kuvuka bahari ya hindi kwenda kujiandaa na mechi ya Yanga, huoni soni kusema "kuna njaa"?

Labda sijui maana ya neno "kuna njaa".

Timu ambayo ilikaribia kufungiwa gest house Tanga. Timu ambayo ililazimika kucheza ndondo Kahama kupata fedha za kujikimu. Timu ambayo.........!!!
 
Timu ambayo ilikaribia kufungiwa gest house Tanga. Timu ambayo ililazimika kucheza ndondo Kahama kupata fedha za kujikimu. Timu ambayo.........!!!

timu ambayo inatumia ushirikina kushinda,timu ambayo inawanachama mambumbumbu,timu ambayo inanunua marefa ili ishinde,timu ambayo ikiifunga yanga inahisi imechukua ubingwa,timu ambayo inabebwa na viongozi wa TFF,timu ambayo........
 
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Dann Sserenkuma aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya ameomba viongozi wa Simba kuvunja mkataba nae.

Dann bado hajarudi kutoka kwao, aliomba ruhusa kuwa ana matatizo ya kifamilia, alitakiwa awe amerudi toka wiki iliyopita lakini ametuma taarifa ya kutaka kuvunja mkataba.

Kanuni za simba zinaruhusu kufanyika mazungumzo ya uvunjaji mkataba, endapo Mchezaji hajaonyesha kiwango kizuri cha kusaidia timu.

Chanzo cha ndani kinaeleza baadhi ya sababu kuwa kichochezi kwa kuondoka kwa mchezaji huyo.

1. Kukaa Benchi muda mrefu bila kucheza.
2. Timu kutokuwa na muendelezo mzuri kwenye Ligi.
3. Pia Sserenkuma alieleza zaidi kuwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC wanamlazimisha kutumia madawa ya ushirikina ( kwa mfano: ya kupata na kuogea) ili kuiwezesha simba ifanye vizuri katika mechi A ligi Kuu.

Danny Sserenkuma ameonekana akikerwa na imani ya Club ya simba katika masuala ya ushirikina.

Anasema kuna baadhi ya wachezaji wenzake wana mchawia kiwango chake ili waweze pata nafasi katika kikosi cha kwanza.
Halafu watu wanashangaa fuvu la binadamu kukutwa kwenye pitch taifa
 
Back
Top Bottom