Danny Lyanga ni Samatta Mpya Msimbazi

Danny Lyanga ni Samatta Mpya Msimbazi

Ni kinda kama Uhuru Selemani mwenye umri wa miaka 25?

umeona mwisho kuna alama ya "?" ktk sentence yangu? maana yake ni swali! alafu ndala mna visa sana, mshaanza kuogopa ogopa! Tulieni, LAZIMA awanyuke tuu, hamna jinsi nyingine!
 
5. Msimu uliopita, mkataba wake umeisha.. Hivyo anatua Simba SC akiwa huru.
Kama alikuwa in mzuri kiasi cha inavyosimuliwa, kwa nini Motema Pembe wasimwongezee mkataba? Alikataa ili awe huru kujiunga na timu za Ulaya zitapomuhitaji? Kuja Simba ambayo haichezi michuano yoyote ya kimataifa kunaendana na dhana hi you? Akili za kuambiwa ongeza na zako.

Mkuu yaliyotokea kwa Danny Lyanga ni sawa na yaliyotokea kwa Frank Domayo. Simba SC imempa day zuri tofauti na alilokua akipata Kongo.. Pia katika mkataba wake una kipengele kua akipata timu ya nje ya nchi, aruhusiwe kwenda.
 
umeona mwisho kuna alama ya "?" ktk sentence yangu? maana yake ni swali! alafu ndala mna visa sana, mshaanza kuogopa ogopa! Tulieni, LAZIMA awanyuke tuu, hamna jinsi nyingine!

Chwiii! Usipanic Mkuu. Hilo swali sijakuuliza wewe, nimemuuliza swali la nyongeza yule atakayekujibu!

Zingatia kuwa hakuna timu yenye viongozi wenye akili timamu wataomuacha huru mchezaji mahiri mwenye umri huo kwani wanafahamu fika kuwa kipaji chake ni fedha kwao. Hilo ni garassa kama siyo oil chafu!
 
Nakumbuka kiungo bora kabisa kwa wakati huo, Frank Domayo naye aliachwa huru na viongozi wenye akili timamu.. Pia kuweka kumbukumbu sawa aliondoka Yanga, akiwa ni under 23.
 
Yule alitekwa na wana lambalamba kama vile Singano alivyotekwa ingawa ni modus operands tofauti. Baada ya Domayo kutekwa uliona hata reaction ya wana Yanga kama ilivyokuwa kwa wana Simba kwa Singano.

Je, baada ya mikia kumsajili Lyanga umesikia reaction yoyote kutoka Motema Pembe?
 
Yule alitekwa na wana lambalamba kama vile Singano aluvyotekwa ingawa ni midus operabds tofauti. Baada ya Domayo kutekwa uliona hata reaction ya wana Yanga kama ilivyokuwa kwa wana Simba kwa Singano.

Haha.. Google imerahisisha sana mambo, naingia katika maktaba kupata reaction ya viongozi makini wa Motema Pembe.
 
Yule alitekwa na wana lambalamba kama vile Singano aluvyotekwa ingawa ni midus operabds tofauti. Baada ya Domayo kutekwa uliona hata reaction ya wana Yanga kama ilivyokuwa kwa wana Simba kwa Singano.

Je, baada ya mikia kumsajili Lyanga umesikia reaction yoyote kutoka Motema Pembe?

Mkuu hawa mikia watakuelewa tu taratibu taratibu
 
Chwiii! Usipanic Mkuu. Hilo swali sijakuuliza wewe, nimemuuliza swali la nyongeza yule atakayekujibu!

Zingatia kuwa hakuna timu yenye viongozi wenye akili timamu wataomuacha huru mchezaji mahiri mwenye umri huo kwani wanafahamu fika kuwa kipaji chake ni fedha kwao. Hilo ni garassa kama siyo oil chafu!
Haiya bhana, ila ulini-quote mimi!
 
aah kaka usitukumbushe hayo mambo sisi mayanga ni mijinga sana simba wanatuingiza hasara sana. wanajidai wanamtaka mchezaji halafu wao wanadi wana pesa kidogo so sisi kwa kuwa tunategemea simba kuona wachezaji wazuri tunawahi kwenda msajili kumbe ni garasa tu. wametufanyia sana hiyo michezo na danny mrwanda kwa sasa anajipumzikia tu anasubir kustaafu.
na simba waache huu mchezo wa kutuingiza mkenge kila mara.
 
Halafu jamani, hivi mkutano mkuu wa timu yetu utakuwapo lini? Naona chairman wetu amekatwa kugombea udiwani. Halafu naye chairman bwana, yaani Jenny Muro akagombee ubunge halafu chairman akagombee udiwani, tena uswahilini?
 
labda angegombea UDI TWO SIO UDI ONE
 
mkuu yaliyotokea kwa danny lyanga ni sawa na yaliyotokea kwa frank domayo. Simba sc imempa day zuri tofauti na alilokua akipata kongo.. Pia katika mkataba wake una kipengele kua akipata timu ya nje ya nchi, aruhusiwe kwenda.
na huenda pia anakwepa kinachomtokea kiiza
 
aah kaka usitukumbushe hayo mambo sisi mayanga ni mijinga sana simba wanatuingiza hasara sana. wanajidai wanamtaka mchezaji halafu wao wanadi wana pesa kidogo so sisi kwa kuwa tunategemea simba kuona wachezaji wazuri tunawahi kwenda msajili kumbe ni garasa tu. wametufanyia sana hiyo michezo na danny mrwanda kwa sasa anajipumzikia tu anasubir kustaafu.
na simba waache huu mchezo wa kutuingiza mkenge kila mara.

Sio mrwanda tu. Deus kaseke ndio ilikuwa kichekesho zaidi. Simba walikuwa wanamtaka peter mwalyanzi na hawakuwa na namba yake ya simu so wakampigia kaseke as if wanamwitaji walipomaliza kuongea wakamuuliza una namba ya peter jamaa akasema ninayo tutumie. Kaseke akatuma. Simba wakampigia peter wakaongea nae. Kesho yake yanga kusikia simba wameongea na kaseke wakampigia simu kaseke wanamwambia tunakuhitaji tutakutumia tiketi ya ndege. Wakamtumia. Simba wakamtumia peter tiketi ya ndege. Kumbe wote peter n kaseke walikuja kwa ndege moja. Kwakuwa yanga walijua simba wanamtaka kaseke basi yanga wakajua simba watamuwahi itakuwa aibu. Yule meneja wa yanga akaingia hadi ndani airport (arrivals) wakamchukua juu kwa juu hao sinza kumficha mpaka peter akashangaa mbona mshkaji wake kabebwa juu na kaambiwa zima simu fasta. Basi simba wakamsubiri peter wakaondoka nae.
Kesho yake magazeti yote ya michezo yakiongozwa na lile gazeti pendwa la wanajangwani Bingwa wakaandika UMAFIA UMAFIA jeshi la Manji lapora mashine airport kimafia.
Baada ya wote kusaini i meana peter simba na kaseke yanga clouds wanawafanyia interview wote nadhani mnakumbuka wenyewe kaseke kwa mdomo wake aliyasema hayo.
 
Mkuu kumbe na wewe kichwa chako ni cha kufugia rasta aisee. Mrwanda alisajiliwa kwa performance yake. Vipi Kamusoko, Ngoma, wote mliwataka? Mikia ni kama mfa maji tu
 
Mkuu yaliyotokea kwa Danny Lyanga ni sawa na yaliyotokea kwa Frank Domayo. Simba SC imempa day zuri tofauti na alilokua akipata Kongo.. Pia katika mkataba wake una kipengele kua akipata timu ya nje ya nchi, aruhusiwe kwenda.
Naomba nitofautiane nawe. Domayo alienda Azam baada ya kuchelewa kuongezewa mkataba na Yanga, iliyokuwa iksubiri majibu ya TFF juu ya idadi ya wachezaji wapya wa kigeni. Azam hawakusibiri hilo, ndio wakamwongezea dau. Kwa huyo Lyanga, haiyumkini kwamba alionekana wa msaada sana kwa Motema Pembe, ndio maana ama wakamwekea maslahi madogo kwenye mkataba mpya akayakataa, au wakamtema kabisa. Kama kumbukumbu zako zitakuwa sawa, hata Simba wenyewe walitangaza kumchukua kwa majaribio, jambo ambalo hawakutangaza kwa akina Samir Nuh na Mwalyinzi. Sisemi kwamba si mchezaji mzuri, nasema si mzuri kama tunavyoshawishiana kuamini; hata Simba wenyewe wanalijua hilo.
 
duh nimeipenda sana hii
Sio mrwanda tu. Deus kaseke ndio ilikuwa kichekesho zaidi. Simba walikuwa wanamtaka peter mwalyanzi na hawakuwa na namba yake ya simu so wakampigia kaseke as if wanamwitaji walipomaliza kuongea wakamuuliza una namba ya peter jamaa akasema ninayo tutumie. Kaseke akatuma. Simba wakampigia peter wakaongea nae. Kesho yake yanga kusikia simba wameongea na kaseke wakampigia simu kaseke wanamwambia tunakuhitaji tutakutumia tiketi ya ndege. Wakamtumia. Simba wakamtumia peter tiketi ya ndege. Kumbe wote peter n kaseke walikuja kwa ndege moja. Kwakuwa yanga walijua simba wanamtaka kaseke basi yanga wakajua simba watamuwahi itakuwa aibu. Yule meneja wa yanga akaingia hadi ndani airport (arrivals) wakamchukua juu kwa juu hao sinza kumficha mpaka peter akashangaa mbona mshkaji wake kabebwa juu na kaambiwa zima simu fasta. Basi simba wakamsubiri peter wakaondoka nae.
Kesho yake magazeti yote ya michezo yakiongozwa na lile gazeti pendwa la wanajangwani Bingwa wakaandika UMAFIA UMAFIA jeshi la Manji lapora mashine airport kimafia.
Baada ya wote kusaini i meana peter simba na kaseke yanga clouds wanawafanyia interview wote nadhani mnakumbuka wenyewe kaseke kwa mdomo wake aliyasema hayo.
 
Mkuu kumbe na wewe kichwa chako ni cha kufugia rasta aisee. Mrwanda alisajiliwa kwa performance yake. Vipi Kamusoko, Ngoma, wote mliwataka? Mikia ni kama mfa maji tu
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom