Danny Lyanga ni Samatta Mpya Msimbazi

Danny Lyanga ni Samatta Mpya Msimbazi

Uwe consistent: unapotaja Simba au Azam ni sharti utaje Yanga pia. Endapo utaamua kutumia nick names mfano ndala (Yanga) basi utumie 'mikia' kwa Simba na 'lambalamba' kwa Azam.

Sasa kama aliipiga chini mikia na sasa karudi, huoni kwamba kalamba matapishi yake mwenyewe?

Daah we jamaa una mapenzi ya kweli kwa magazeti fc .. kama mimi navoikubali wekundu wa msimbazi nikisikia mtu yoyote katania hicho chama lazima nimaind
 
Daah we jamaa una mapenzi ya kweli kwa magazeti fc .. kama mimi navoikubali wekundu wa msimbazi nikisikia mtu yoyote katania hicho chama lazima nimaind

wamagazeti ashindwe kuwa mikia fc aka mambumbumbu
 
Msimamo wa ligi kuu bara Msimu uliopita ulikua hivi;

View attachment 278434

Nichoking'amua hapo juu ni kua;

1. Pamoja na Ndala kuwa na mabeki + makipa bora kabisa nchini ambao ni tegemeo pia timu za Taifa, waliruhusu kufungwa goli 18, sisi tuliokua na beki ambayo haijazoea ligi, vijana, tuliruhusu goli 19.
Msimu huu Mtalamu Kerr katujengea Great Wall Of China.. Sidhani kama kuna beki atakua na udhibiti wa kupita.. Atakaye jaribu asije sema hatukumuonya.

2. Safu ya ushambuliaji ya Ndala ilikua moto msimu uliopita, na hii ni baada ya sisi kuwauzia bunduki yetu.. Safu yao ilifunga goli 58, ukitoa magoli ya bunduki tuliyowapatia.. Sidhani hata kama wangetuzidi kwa wingi wa Magoli.
Msimu huu tumejifunza kitu, ili kuongeza idadi ya magoli ya kufunga tumewaleta Kiiza, Mgosi, Mwalyanzi na yule mshambiliaji kiboko ya mabeki visiki Emily Ndayisenga.

"When you talk about this new striking force, you means dozen of goals in a single match" - sembo

mkuu namikia mlikuwa na magoli mangapi ya kufunga?....halafu kiiza mtowemo huyo ni galasa hapo kwa mikia
 
wamagazeti ashindwe kuwa mikia fc aka mambumbumbu

Nyie ni wakimataifa magazetini , sisi ni wakimataifa uwanjani .. mwaka huu tumerudi tena kama kawaida yetu na pasi fupi fupi nakuhakikishia yebo atakula tano zingine mwaka huu
 
Nyie ni wakimataifa magazetini , sisi ni wakimataifa uwanjani .. mwaka huu tumerudi tena kama kawaida yetu na pasi fupi fupi nakuhakikishia yebo atakula tano zingine mwaka huu

Naomba unitajie bingwa wa ligi kuu mnayoshiriki ninyi ni nani??????.....Haya!!,wamchangani uwanjani umesema mwaka huu mmerudi labda tueleze hiyo miaka mingine mlikuwa wapi/mmeenda wapi ???????maana miaka yote hiyo mmekuwa mkiandikwa sana na magazeti mkitajwa kuchukua ubingwa,,lakin mnaishia nafac ya nne cjui tanok, mnajuaee wenyewe mikia,,,mara oooh! simba ubingwa lazima, mara phiri atoboa síri ya ubingwa simba,,,mara simba hii haijapata tokea,, mara logarusic asema ubingwa lazima msimbaz na kelele za porojo kama hízó kwenye magazeti lakin uwanjan mdebwedo aka ziro,,,mpira sio porojo za kwenye magazeti na kwenye vijiwe vya kahawa mpira unachezwa uwanjani na kila mtu anauona..........

vip kuhusu ndyaisenga mrundi wenu nasikia mmeshamkatta sahivi anaongelea kwao burundi na kiiza aliyepokelewa kwa mbwembwe nyingi taifa hana amani mda wowote mzungu wenu anamkata na yeye kama kama alivyomkata maguli

ukistaajabu ya RAGE utayaona ya MAMBUMBUMBU...
 
mkuu namikia mlikuwa na magoli mangapi ya kufunga?....halafu kiiza mtowemo huyo ni galasa hapo kwa mikia
kiiza mzuri aisee ni msumbufu sana kwa mabeki na anajiyuma na huwezi kugundua mchezji bora kama timu sio bora
 
Kila la heri Danny jitume tu zaidi
 
wakati nasoma moshi tech tulikuwa tunakula samaki kwao,,mama ake anafahamika sana na wanafunzi wa mo tech kwa kuwauzia samaki,,,nimemuona dany tangia ancheza mashindano ya chrisc mosho akiwa na umri mdogo kabisa na nilimtabiria makubwa sana.

ana vitu vingi sana bado haja vionyesha ni swala la mda
 
Daah we jamaa una mapenzi ya kweli kwa magazeti fc .. kama mimi navoikubali wekundu wa msimbazi nikisikia mtu yoyote katania hicho chama lazima nimaind
kapotelea wapi Makoye
 
umeufukulia wapi huu uzi niliutafuta sana
wakati nasoma moshi tech tulikuwa tunakula samaki kwao,,mama ake anafahamika sana na wanafunzi wa mo tech kwa kuwauzia samaki,,,nimemuona dany tangia ancheza mashindano ya chrisc mosho akiwa na umri mdogo kabisa na nilimtabiria makubwa sana.

ana vitu vingi sana bado haja vionyesha ni swala la mda
 
wakati nasoma moshi tech tulikuwa tunakula samaki kwao,,mama ake anafahamika sana na wanafunzi wa mo tech kwa kuwauzia samaki,,,nimemuona dany tangia ancheza mashindano ya chrisc mosho akiwa na umri mdogo kabisa na nilimtabiria makubwa sana.

ana vitu vingi sana bado haja vionyesha ni swala la mda
nahisi pia ana tatizo na uongozi huususan malipo yake
 
wakati nasoma moshi tech tulikuwa tunakula samaki kwao,,mama ake anafahamika sana na wanafunzi wa mo tech kwa kuwauzia samaki,,,nimemuona dany tangia ancheza mashindano ya chrisc mosho akiwa na umri mdogo kabisa na nilimtabiria makubwa sana.

ana vitu vingi sana bado haja vionyesha ni swala la mda
Mpaka sasa hivi anavitu vingi bado haja vionyesha... Ukizingatia ana miaka 24.

watu wa Mchangani mnachekeshaga sana yaani.

Samatta ana 24 sasa hivi, na kashaonyesha vitu vyake. Haya bhana ebu tungoje huenda Lyanga akaonyesha uwezo afikapo miaka 28.
 
Ukiniwekea KASEKE na LYANGA, namchagua KASEKE....

Huyu dogo Lyanga hamna kitu kabisa, hana Tofauti na enzi za Mwaikimba.
 
Ukiniwekea KASEKE na LYANGA, namchagua KASEKE....

Huyu dogo Lyanga hamna kitu kabisa, hana Tofauti na enzi za Mwaikimba.
duh hujamuangalia vizuri aisee..Kaseke is too mechanical while Lyanga ni talented and skillful inagwa mapenzi yako pia yatimizwe .....ni kweli kwamba kwa siku za karibuni amekua anacheza kama hataki ila ukumbke mpira ni zaidi ya macho yako uwanjani
 
Ukiniwekea KASEKE na LYANGA, namchagua KASEKE....

Huyu dogo Lyanga hamna kitu kabisa, hana Tofauti na enzi za Mwaikimba.
hivi kaseke unaweza kumfananisha na mwaikimba?
kumfananisha kaseke na lyanga ni kumtusi lyanga.
 
Back
Top Bottom