Dar Airport Named One of the Worst in Africa!

Kwa kweli kiwanja cha ndege cha Dar kina kasoro kubwa. Mbona nchi inakusanya fedha nyingi kwa kwanini wasitengewe fedha za kutosha ili kuleta uwanja huu katika ngazi ya Kimataifa.
 
Km mbwa,panya, ng'ombe wanafundishika, iweje kwa binadamu?. Kwamba Watanzania hawafundishiki?, tuache kujidharau hivyo jamani na kuwatukuza Wazungu.
Suala si kufundishika bali committment yao kwenye kazi hasa kazi za umma. Waafrika wengi bila vitisho vya kufukuzwa kazi, kupunguziwa mshahara au marupurupu hawajitumi. Hii pia inaweza kuwa inachangiwa na mifumo yetu ya utawala kuanzia ikulu hadi huku chini siyo bora sana japo technologia (hasa TEHAMA|) inaanza kutubadilisha taratibu.
 
Chifu mfumo wa malipo ya mishahara kwa nchi zetu za Afrika ni tofauti na huko Amerika na Ulaya Ndio maana unaona km vile wale wanawajibika sana.Wenzetu kule wanalipana kwa masaa ndio maana mtu lazima ajitume,huku Kwetu tunalipana tu kwa mwezi,mtu anayejituma kisawasawa analipwa sawa tu na yule ambaye ni goigoi Kazini sasa Kwanini kusiwe na kutegeana hapo?.
 
Siku zote walikuwepo wapi mpaka Mama alipo zindua hiyo Documentary ndio wanaanza mapicha yao, mara yule Mnaijeria mara leo hili.
 
ngoja waje CCM kukuponda, maana wanasema nchi kama Tanzania yatakiwa kuwa inatoa misaada hadi nchi la Ulaya na Asia.
 

Unmeongea Pumba, Acha kutetea utendaji mbovu wa wafanyakazi
 
Survey ya mwaka 2017, ripoti ya mwaka 2021?

Terminal 3 ilifunguliwa lini?
 


We ushalewa, go home.
 
Hii ni vita ya uchumi
Pumbavu zenu kila siku kutwa kuleta utetezi wa kifala hapa.

DW mnagombea kitu gani nao?
Lala funika makalio ya kifukara huko.
Nimekumind sana wewe
 
We mwenyewe unapanda ndekule bus na alhushoom hizi taarifa za kuchafua nchi unaweza kuzithibitisha? Tuna viwanja vibovu kama Robert Mugabe cha Harare au Bakili Muluzi Blantyre hawakuviona?
 
Tatizo humu jf ni mavuvuzela wanojua kila kitu watakuita msaliti!
 
Unmeongea Pumba, Acha kutetea utendaji mbovu wa wafanyakazi
Kichwa chako kilichojaa Makamasi ndio kinaona kuwa nimeongea pumba,lkn mwenye Akili atanielewa.Maofisini watu wanafika muda wanaotaka wao, wanafanya kazi kidogo muda wa kazi Umeshafika wanasepa zao, Mfanyakazi ambaye ni mtu wa kujituma akishaona hivyo lazima avunjike moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…