Dar: Ajaribu kuwakimbia polisi lakini aishia kukamatwa

Dar: Ajaribu kuwakimbia polisi lakini aishia kukamatwa

Wanaume wa Dar wanatuaibisha sana wanaume wote nchini! Na hasa sisi wanaume wa Mikoani.

Mwnaume wa Mkoani kama mimi naweza kukimbiza hata na swala peke yangu, na nikafanikiwa kumkamata.
 
Back
Top Bottom