Dexta JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 2,096 Reaction score 5,211 May 19, 2023 #21 Mbona jamaa kama teja🙄
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 19, 2023 #22 Wanaume wa Dar wanatuaibisha sana wanaume wote nchini! Na hasa sisi wanaume wa Mikoani. Mwnaume wa Mkoani kama mimi naweza kukimbiza hata na swala peke yangu, na nikafanikiwa kumkamata.
Wanaume wa Dar wanatuaibisha sana wanaume wote nchini! Na hasa sisi wanaume wa Mikoani. Mwnaume wa Mkoani kama mimi naweza kukimbiza hata na swala peke yangu, na nikafanikiwa kumkamata.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 19, 2023 #23 Dexta said: Mbona jamaa kama teja🙄 Click to expand... Hapo maana yake ameshapiga kitu cha chipsi yai, na juice ya miwa! Mwili wote ndembendembe.
Dexta said: Mbona jamaa kama teja🙄 Click to expand... Hapo maana yake ameshapiga kitu cha chipsi yai, na juice ya miwa! Mwili wote ndembendembe.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 May 19, 2023 #24 Teko Modise said: View attachment 2627827 View attachment 2627829 View attachment 2627830 View attachment 2627832 View attachment 2627834 Picha za tukio. Video ipo twitter kwa Martin Masanja Masese au Maulid Kitenge Click to expand... Nikiliona tenga napata image ya mwenyekiti wa CUF, sijawahi kumwelewa, mara umkute humo kwenye tenga, mara yuko na wakubwa wa chama pacha mara anapiga mswaki ofisini
Teko Modise said: View attachment 2627827 View attachment 2627829 View attachment 2627830 View attachment 2627832 View attachment 2627834 Picha za tukio. Video ipo twitter kwa Martin Masanja Masese au Maulid Kitenge Click to expand... Nikiliona tenga napata image ya mwenyekiti wa CUF, sijawahi kumwelewa, mara umkute humo kwenye tenga, mara yuko na wakubwa wa chama pacha mara anapiga mswaki ofisini