Nadu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 263
- 212
Mbona wa EPA na Richimind wanaachwa tu wakichanja mbuga?Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wa EPA na Richimind wanaachwa tu wakichanja mbuga?Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.
Kama jambo huelewi kaa kimyaWatanzania tuamke!!! Mazingira haya yametengenezwa tu, kama taarifa ya mwanzo ilivyosema kua "askari wamemkamata akiwa na vibali sahihi, ila wakaamua kuondoka navyo vibali vyote original na kukataa kuacha copy ofisini kwake". Hapa kama kawaida, serekali inatuhamisha toka maswala fulani kutupeleka kwengine. Tumeshafanywa kama watoto wa chekechea sasa!!!
Watanzania lini tutapata akili jamani ya kuchanganua mambo na ukweli????? Tulishuhudia YUSUF MANJI alikamatwa na akafikishwa mahakamani kwa kukutwa na NYARA ZA SEREKALI, MIHURI YA JESHI, VITAMBAA VYA SARE ZA JESHI. Case iliishia wapi?????? Nani anaehoji mpaka sasa kuhusu hio tuhuma zake au case alizoshitakiwa nazo?????? Kama kweli angeachiwa huru????
Inasikitisha sana kuona mtu akitetea uonevu unaofanywa na askari kwa raia, na uongo tunaopewa raia na serekali yetu, kama huu na iliopita.
Na inasikitisha zaidi kuona wafanya biashara wakubwa wakionewa mpaka kufikia hatua wanafunga biashara zao na watanzania wenzetu kibao wanakosa ajira.
Watanzania tuamke!!! Mazingira haya yametengenezwa tu, kama taarifa ya mwanzo ilivyosema kua "askari wamemkamata akiwa na vibali sahihi, ila wakaamua kuondoka navyo vibali vyote original na kukataa kuacha copy ofisini kwake". Hapa kama kawaida, serekali inatuhamisha toka maswala fulani kutupeleka kwengine. Tumeshafanywa kama watoto wa chekechea sasa!!!
Watanzania lini tutapata akili jamani ya kuchanganua mambo na ukweli????? Tulishuhudia YUSUF MANJI alikamatwa na akafikishwa mahakamani kwa kukutwa na NYARA ZA SEREKALI, MIHURI YA JESHI, VITAMBAA VYA SARE ZA JESHI. Case iliishia wapi?????? Nani anaehoji mpaka sasa kuhusu hio tuhuma zake au case alizoshitakiwa nazo?????? Kama kweli angeachiwa huru????
Inasikitisha sana kuona mtu akitetea uonevu unaofanywa na askari kwa raia, na uongo tunaopewa raia na serekali yetu, kama huu na iliopita.
Na inasikitisha zaidi kuona wafanya biashara wakubwa wakionewa mpaka kufikia hatua wanafunga biashara zao na watanzania wenzetu kibao wanakosa ajira.
Mbona Musiba hakumtaja huyu?Wanyooshwe tuu. Tembo wanateketea wao wanakuwa mabilionea. Shenzi.
Ndio maana ujangili ulishamiri sana kipindi cha JK. Mambo kama haya ndio yananifanya niwashangae watu WANAOMHUSUDU JK. Mh Magufuli KANYAGA TWENDE HATA UKIKOSEA TUTAKUSAMEHEHuyu bwana Akram ni kada na mdogo wake aliyekuwa mbunge kipenzi wa CCM, kwa taarifa yenu CCM ndio ujangili wenyewe na ujangili ni CCM.
Kama kuna mtu ana uwezo wa kusimama kututajia majangili wawili 2 wakubwa ambao sio CCM asimame ahesabiwe.
Kuna mbunge wa Mbalali na familia yake wanatuhumiwa kwa ujangali na anaweza kukamatwa tu siku atakapo acha kuunga mkono.
Ndugu yangu hawa anti JPM ni wapuuzi ajabu. Ukiona mtu anatetea masuala haya unless ni form two, jua amefilisika kiakili! Usilumbane nao waache waijaze sever ya JF ila jamaa anachanja mbuga ni dhahiri anategeneza maadui wengi. Rostam alichoka alipoona jamaa kamsweka ndani sethiTuacheni kutetea maovu , mtu anakamtwa na meno ya Tembo tena vizibiti vipo tunasema ameonewa eti kwa kuwa ni tajiri au kwa kuwa anapingana na serikali iliyopo madarkani, watanzania mbona tuko down sana kiasi hiki? kweli mtu kakamatwa na uwindaji haramu tuna sema serikali inanyanyasa matajiri? wangapi wamekamatwa Tanzania hii kwa uwindaji haramu na wako huko wanasubiri kesi zao? kama ameonewa mahakama ipo itatoa hukumu, lakini sio tuache kuchukua hatua pindi watu wanapokuwa na hatia, tunataka kujenga taifa la ajabu sana kisa eti tunataka huyo tajiri aliyekamatwa tumtetete hapa tumchonganishe na serikali ili akitoka basi aungane nasi katika vyama vyetu kisa tupate misaada ya ufadhili, siasa ni mbaya sana tukiicha iwe katika akiri zetu muda wote maana kila kitakachokuwa kinatokea hapa nchini baada ya kujadili in a facts way tunalichukulia ni suala lakutafutia wafuasi, lets the government do the work, kuna mahakama zitaamua, ndio maana mimi nasem serikali iliyopo itakuwa ngumu sana kuyatoa, maana yanazidi kupata uungwaji mkubwa wa watu na kujiweka katika mazingira mazuri kwa kipindi kijacho,wanacheza na agenda zao vizuri, rushwa, ujangili,madawa ya kulevya na kadhalika, sisi tunadharau lakini wenzetu ndo wanakimbia hivyo.
1.5 trillion vipiHeko kwa Serikali kulinda tembo na maliasili yetu.
Mulikeni pia na kwenye gas huku mtwara na Lindi.
Ukishaona utakatishaji na uhujumu uchumi kwenye listi ya kesi mara nyingi kunaviashiria vya kukomoana,sababu mtuhumiwa atasota ndani mpaka kesi iishe na kesi zenyewe zinatumia miaka kumalizika.Hivi ni mwalifu gani mwenyekujielewa anaweza kukaa na vizibiti ndani mwake?.
Wameamua kuuacha kuteka, mbinu mpya in kubambika makosa ya uhujumu uchumi na kutakatisha pesa ili matajiri watoe hela ya kuwanunua wapinzaniKwa wana JF,
Natambua kuwa kuna threads 2 humu; ila taarifa ni kuwa Akram Aziz ambaye ni mdogo wa Mbunge wa zamani wa Igunga, Ndg. Rostam Aziz, ni kweli alikamatwa na Vyombo vya Dola na mchana huu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
View attachment 917003
Kwa kuanzia, ana makosa takribani 75 ambayo anahusishwa nayo. Kuna utakatishaji fedha/uhujumu uchumi na kukutwa na nyara za serikali pia katika makosa hayo.
View attachment 917001
View attachment 917002
Kwa Taarifa za awali, Soma => Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali... - JamiiForums
===========
Mfanyabiashara Akram Azizi amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 75 ya uhujumu uchumi, ikiwamo kukutwa na nyara za Serikali, silaha, risasi na utakatishaji wa fedha Dola za Marekani 9,018.
Mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka 70 ya kukutwa na silaha, mawili ya kukutwa na risasi, mawili ya kukutwa na nyaraka na moja la utakatishaji wa fedha.
Mshtakiwa huyo amesomewa mashtaka hayo na mawakili wa Serikali wakuu, Paul Kadushi na Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustine Rwizile.
Baada ya kusomewa mashtaka hayo, mshtakiwa huyo hakuruhusiwa kuongea chochote kwa sababu mahakama hiyo ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo hadi Mahakama Kuu.
Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria shtaka la utakatishaji fedha halina dhamana. Mshtakiwa ameenda rumande katika gereza la Segerea.
Upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika, kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 12, 2018.
Kwa ushahidi upi kuwa ameonewa,ushakuwa mahakama,halafu tumekuwa wajinga eti tunakosa ajira,ajira ipi ya kuuza nyara za taifa.Watanzania tuamke!!! Mazingira haya yametengenezwa tu, kama taarifa ya mwanzo ilivyosema kua "askari wamemkamata akiwa na vibali sahihi, ila wakaamua kuondoka navyo vibali vyote original na kukataa kuacha copy ofisini kwake". Hapa kama kawaida, serekali inatuhamisha toka maswala fulani kutupeleka kwengine. Tumeshafanywa kama watoto wa chekechea sasa!!!
Watanzania lini tutapata akili jamani ya kuchanganua mambo na ukweli????? Tulishuhudia YUSUF MANJI alikamatwa na akafikishwa mahakamani kwa kukutwa na NYARA ZA SEREKALI, MIHURI YA JESHI, VITAMBAA VYA SARE ZA JESHI. Case iliishia wapi?????? Nani anaehoji mpaka sasa kuhusu hio tuhuma zake au case alizoshitakiwa nazo?????? Kama kweli angeachiwa huru????
Inasikitisha sana kuona mtu akitetea uonevu unaofanywa na askari kwa raia, na uongo tunaopewa raia na serekali yetu, kama huu na iliopita.
Na inasikitisha zaidi kuona wafanya biashara wakubwa wakionewa mpaka kufikia hatua wanafunga biashara zao na watanzania wenzetu kibao wanakosa ajira.
OK! vipi? lugumi hana kosa serikali ndo INA kosa, kawadanganyeni wasukuma wa chatoNdugu yangu hawa anti JPM ni wapuuzi ajabu. Ukiona mtu anatetea masuala haya unless ni form two, jua amefilisika kiakili! Usilumbane nao waache waijaze sever ya JF ila jamaa anachanja mbuga ni dhahiri anategeneza maadui wengi. Rostam alichoka alipoona jamaa kamsweka ndani sethi
ShukraniOK! vipi? lugumi hana kosa serikali ndo INA kosa, kawadanganyeni wasukuma wa chato
Wataishi kama MASHETANI.Kwa wana JF,
Natambua kuwa kuna threads 2 humu; ila taarifa ni kuwa Akram Aziz ambaye ni mdogo wa Mbunge wa zamani wa Igunga, Ndg. Rostam Aziz, ni kweli alikamatwa na Vyombo vya Dola na mchana huu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
View attachment 917003
Kwa kuanzia, ana makosa takribani 75 ambayo anahusishwa nayo. Kuna utakatishaji fedha/uhujumu uchumi na kukutwa na nyara za serikali pia katika makosa hayo.
View attachment 917001
View attachment 917002
Kwa Taarifa za awali, Soma => Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali... - JamiiForums
===========
Mfanyabiashara Akram Azizi amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 75 ya uhujumu uchumi, ikiwamo kukutwa na nyara za Serikali, silaha, risasi na utakatishaji wa fedha Dola za Marekani 9,018.
Mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka 70 ya kukutwa na silaha, mawili ya kukutwa na risasi, mawili ya kukutwa na nyaraka na moja la utakatishaji wa fedha.
Mshtakiwa huyo amesomewa mashtaka hayo na mawakili wa Serikali wakuu, Paul Kadushi na Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustine Rwizile.
Baada ya kusomewa mashtaka hayo, mshtakiwa huyo hakuruhusiwa kuongea chochote kwa sababu mahakama hiyo ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo hadi Mahakama Kuu.
Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria shtaka la utakatishaji fedha halina dhamana. Mshtakiwa ameenda rumande katika gereza la Segerea.
Upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika, kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 12, 2018.
Hii kesi kama ya manji tu.ngoja uone.manji naye sialikutwa na vitambaa vya jeshi.kesi iliishaje?Kwahyo kabambikiwa au?