DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

Kama jambo huelewi kaa kimya
 
Mara watekwe,mara wabunge waunge mkono na kurudihwa ubunge wao,isindingo ya ajabu kweli ndo mana ccm huko wamejaa maezeta hawezi kuhohi kwann wapza wakihamia ccm wanarudishiwa ubunge
 
Ndio maana ujangili ulishamiri sana kipindi cha JK. Mambo kama haya ndio yananifanya niwashangae watu WANAOMHUSUDU JK. Mh Magufuli KANYAGA TWENDE HATA UKIKOSEA TUTAKUSAMEHE
 
Ndugu yangu hawa anti JPM ni wapuuzi ajabu. Ukiona mtu anatetea masuala haya unless ni form two, jua amefilisika kiakili! Usilumbane nao waache waijaze sever ya JF ila jamaa anachanja mbuga ni dhahiri anategeneza maadui wengi. Rostam alichoka alipoona jamaa kamsweka ndani sethi
 
Ukishaona utakatishaji na uhujumu uchumi kwenye listi ya kesi mara nyingi kunaviashiria vya kukomoana,sababu mtuhumiwa atasota ndani mpaka kesi iishe na kesi zenyewe zinatumia miaka kumalizika.Hivi ni mwalifu gani mwenyekujielewa anaweza kukaa na vizibiti ndani mwake?.
 
Kila mtu akiogopa lawama hii nchi itaoza zaidi. Ni lazima watokee wanaume kwa wanawake wakuchukua hatua kali kwa wote wenye kuvunja sheria na taratibu zilizopo bila kuangalia mtu usoni

Piga kaz magufuli. Haiwezekani utake kupendwa na majitu majizi.
 

Kwahyo kabambikiwa au?
 
Wameamua kuuacha kuteka, mbinu mpya in kubambika makosa ya uhujumu uchumi na kutakatisha pesa ili matajiri watoe hela ya kuwanunua wapinzani
 
Kwa ushahidi upi kuwa ameonewa,ushakuwa mahakama,halafu tumekuwa wajinga eti tunakosa ajira,ajira ipi ya kuuza nyara za taifa.
 
OK! vipi? lugumi hana kosa serikali ndo INA kosa, kawadanganyeni wasukuma wa chato
 
Wataishi kama MASHETANI.
 
Wahindi, if you are innocent and have an alternative, leave this shithole country! Kama mnafanya kweli, then you have to pay the price of your deeds!
 
Siamini katika ubaguzi wa rangi,japo najiuliza wahindi wetu mbona wanapatikana na mambo ya kashfa za kumaliza Afrika-:
1.Golderngate Kenya enzi za Rais Moi.
2.Kashfa ya siraha ikimuhusisha mhindi na waziri wa ulinzi Zuma South Africa
3.Gupta huko South Africa iliomuondoa Rais Zuma.
4.EPA Tanzania
5.Tanzanite Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…