DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

Waambie hao wenye kampuni na wanasheria wke kuwa ule wakati wa kuchezea mali za watanzania kwa kuwa unajua kucheza na sheria za nchi umekwisha! mtatoa matamko sana.
 
sijajua hili swali lako linahusiana nini na kile nilichoandika. kama unaweza nifafanulia nitashukuru. wanasema kuuliza si ujinga, lakini hii hailalishi kuuliza maswali ya kijinga.

Hujisikii vizuri kuona mafisadi wakinyooshwa?
 
sijajua hili swali lako linahusiana nini na kile nilichoandika. kama unaweza nifafanulia nitashukuru. wanasema kuuliza si ujinga, lakini hii hailalishi kuuliza maswali ya kijinga.
Great thinker ...think
 
Naona maccm yameanza kusambaratika,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…