DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

...kama taarifa ya mwanzo ilivyosema kua "askari wamemkamata akiwa na vibali sahihi, ila wakaamua kuondoka navyo vibali vyote original na kukataa kuacha copy ofisini kwake".
Vibali vya kuua tembo wetu?!!
Halafu kwa nini umeamua kuiamini hiyo "taarifa ya mwanzo"?
Umewahi kufikiria uwezekano wa mtu aliyesafirisha twiga wetu kuwa alikuwa na "vibali sahihi"?
 
Mpaka sasa tunakamata waliopenya na kwenda kuiba lakini tunawaacha walioruhusu nakuachia njia watu waende wakaibe, halafu unasema unapambana na Ufisadi wakati hao watu bado wana kadi za chama na wako uraiani.
 
Heko kwa Serikali kulinda tembo na maliasili yetu.

Mulikeni pia na kwenye gas huku mtwara na Lindi.
Nasubilia Mgonjwa Wetu Wa Ubelgiji Aseme Pia Kwamba Hii Kesi Ni Rahisi Na Serikali Itashindwa..... Maana yeye Ni Mtabiri Mzuri Sana
 
Kwani huyu nae anamsapoti Membe?
Nimechomekea tu.. 😂
Ila Kesi itaisha kama ya Lugumi, Ngoja Mzee wa Msoga amtembelee tena..
 
Anatetea mafisadi,kwa hiyo kama amefanikiwa kwa njia haramu asichukuliwe hatua???? Kweli JPM kanyoosha haya makenge mpaka hawajui wanachoongea

Mbona huzungumzii waliobambikiwa kesi na hadi sasa wanasota jela? watu waliouwawa na kupigwa risasi katika hali tata, wapo mafisadi ambao bunge lilithibitisha kwa sakata la Escro lakini bado wanadunda, demokrasia walioapa kuilinda na kuitekeleza leo iko wapi, uhuru wa habari leo leo uko wapi? uzuri wa mtu angalia na upande wa pili ndio uje na mrejesho.,
 
sasa hivi ni uonevu tu.
 
Vibali vya kuua tembo wetu?!!
Halafu kwa nini umeamua kuiamini hiyo "taarifa ya mwanzo"?
Umewahi kufikiria uwezekano wa mtu aliyesafirisha twiga wetu kuwa alikuwa na "vibali sahihi"?
Tanzania sheria inaruhusu kuwinda tembo kwa vibali vya kitalii, kama ulikua haufahamu. Wanyama pekee ambao hawana vibali kuwindwa hata kwa uwindaji wa kitalii ni Twiga na Faru.
 
Inasemekana watawala waliokosa hekima huwaonea watu, sasa nimeamini ni kweli
 
sasa hivi ni uonevu tu.
Uonevu huu unasababisha wafanya biashara wakubwa kukimbia kwenda nchi nyingine kuwekeza, na watanzania wenzetu kibao kufukuzwa kazi kwa kigezo wanapunguza production za viwanda vyao. Inasikitisha sana

Kenya wanaakili sana, wanawapa misamaha ya kodi wafanya biashara kibao wanaotoka Tanzania kukimbilia kuwekeza huko, ila kwa masharti ya kuajiri wakenya tu kufanya kazi.
 
jamaa anatugharimu sana.
 

LEO HATULALI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…