TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Kwa hiyo waliopotea wote na kuuawa ni mashushushu wa zamani? Lame explanations hizi.
 
Hali ya ukatili Kwa raia wema imezidishwa .
Wakati wa uchaguzi ujao tutarajie ukatili mkubwa zaidi
Aisee nilijua Siasa nzuri ndio Suluhisho kwa Maendeleo ya Taifa. Siku zote nimekuwa mfuasi wa siasa bora za kujenga hoja.i

Ila sasa zimebadilika wanaopaswa kujibu hoja zetu wamebadiki mbinu.
Mimi natangaza kuachana na siasa mazima. Adhima yao imetimia kwamba watatia vitisho hata kwa kuua hadharani ili washenzi wengine wanaowapinga waamue kuacha au kupotea.

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kama ni Rais na hujui matukio makubwa ya utekaji ina maana umeamua kukaa kimya. Kazi ya kwanza kwa vyombo vya usalama duniani, serikalini kote ni kumwambia Rais (brief) what is going on.

Rais huwa ana taarifa zote hasa kuhusu matukio yote muhimu, uhai wa watu, taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…