Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Wanataka na kuuwa. Wasije laumu wakianza kutekwa na kuuwawa!Hii serikali dhalimu imeshafanya yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka na kuuwa. Wasije laumu wakianza kutekwa na kuuwawa!Hii serikali dhalimu imeshafanya yake
Kama Rais hakemei huu uovu inamaanisha ameubariki
Tatizo Upinzani wamelala usingizi wakiamka wanaimba pambio za ccmNi kweli inaumiza. Hii yote ni kwa ajili ya nini? Nipo tayari kwa ajili ya kuunga mkono maandamano yoyote yanayopinga mauaji ya namna hii.
Huu ni muendelezo tu ila yeye ndio muasisi wa huu uhuni...na Wala uwezi kumvua Samia na huu uhuni unyama unaoendelea
Kukemea kwa Maneno tu ?
Au awawajibishe wenye dhamana ya usalama chini yake kivitendo ?
Kawa case study?? Tutegemee nini pay slip?Jiwe yuko wapi?
Kama serikali haiuhisiki inatakiwa waanze na hawa walimuua kibao.wakikaa kimya tutajua wanawatuma.
Enzi za kina Musiba ilikuwa hivi hivi😄😄Angalia huyu mbwa
View attachment 3090446
Wao wana bundukiWanataka na kuuwa. Wasije laumu wakianza kutekwa na kuuwawa!
View: https://youtu.be/5Gkj4OhSg10?si=sJJ9aVISSiVx6xHi
Alikuwa mwanajeshi, Military Intelligence kipindi cha vita ya Kagera. Shushushu mkongwe. Labda Je wasiojulikana wanamuhisi yeye ndio katoa taarifa nyeti kuhusu wao, mpaka mbowe akaita press conference mpaka mitandaoni wasiojulikana wakajulikana?, Au kutokana yeye ni shushushu mkongwe wa mfumo mwenye vyanzo nyeti vya taarifa. Ndio wameona wampoteze?
Bams Mshana Jr Erythrocyte johnthebaptist
Aisee nilijua Siasa nzuri ndio Suluhisho kwa Maendeleo ya Taifa. Siku zote nimekuwa mfuasi wa siasa bora za kujenga hoja.iHali ya ukatili Kwa raia wema imezidishwa .
Wakati wa uchaguzi ujao tutarajie ukatili mkubwa zaidi
Kama ni Rais na hujui matukio makubwa ya utekaji ina maana umeamua kukaa kimya. Kazi ya kwanza kwa vyombo vya usalama duniani, serikalini kote ni kumwambia Rais (brief) what is going on.Raia Samia hajatoa kauli thabiti dhidi ya kundi hili la kigaidi linaloendelea kufanya uhalifu wa kuteka na kuua raia wasio na hatua....
Aidha polisi wameendelea kutoa kauli tata, zilizobeba mizaha, kutojali na zinazoonesha "zero responsibility" kwa Jeshi la Police kinyume kabisa na wajibu wao wa kisheria na kikatiba.......
Kwa niaba ya raia wenzangu, naomba serikali kwa ujumla (Rais Samia Suluhu Hassan) na specific Jeshi la police wajibu maswali haya muhimu ya wananchi:
1. Kazi na jukumu la msingi la Jeshi la Police ni kulinda Usalama wa raia na Mali zao. Kazi yenu polisi pia hutekekezwa kutumia intellejensia ya kunusa uhalifu, kisha kuchunguza, kudhibiti na kukamata wahalifu na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Kama hizi ndizo kazi zenu, ni kwanini mauaji haya yanaendelea na ninyi mkiwa mpo kimya tu....?
2. Circumstantial evidence inaonesha wazi kuwa polisi kwa upande wa pili ni nyie mnahusika. Mmeunda genge la utekaji na uuaji wa kuteka na kutesa watu mnaoambiwa na viongozi wenu muwaue. Haina shaka kuwa mnafadhiliwa na wanasiasa vigogo ndani ya CCM na serikalini lengo likiwa ni kulinda madaraka na influence yao ya kisiasa. Polisi mmezikana tuhuma hizi. Mmesema hamhusiki. Kama ndiyo hivi, ni nani wanahusika....?
3. Genge hili la ugaidi linaloendesha shughuli zake mchana kweupe, kila linapomlenga mtu fulani na likimfikia hujitambulisha kuwa ni "police" wakitumia magari ya kifahari sana na wakati mwingine ya Jeshi polisi kwa sura na usajili wa namba zao. Swali muhimu ni hili, kwamba, inakuwaje genge hili la kihalifu linalojitambulisha kama "police" pale linapotenda uhalifu wake mchana kweupe na nyie polisi halisi hamfanyi kuchukua hatua zozote kuwatia mikononi mwenu wauaji hawa...?
4. Serikali (Rais Samia Suluhu Hassan), TANPOL na Waziri wa mapolisi ndugu Masauni, Je mmeshindwa kulinda uhai wa raia? Mnafanya nini kwenye ofisi zetu za umma kama genge hili la ugaidi limewashinda nguvu kiasi cha kujiona lenyewe ndiyo serikali? Kwanini mnadhani mnastahili kuaminika ktk mazingira haya?
##Rais Samia Suluhu Hassan toka mafichoni, acha kuwa chura kiziwi wa Kizimkazi waambie raia kuwa wewe na serikali yako mmeshashindwa kazi, mmeshindwa kutumia vyombo vya ulinzi kutulinda uhai wa watu ili kila mtu achukue hatua binafsi za kujilinda muone kama tutashindwa....!!