nitachngia tu ile niko na uelewa na ufahamu nayo,Hivyo una ushahidi Chadema ndiyo wameajiri usalama wa taifa kumteka kiongozi wao tena mzee😂😂🤔🤔 . Bora unyamaze maana unajishusha sana next time kama ndiyo kipaji chako hivi na uelewa wa chini basi nitakuomba usichangie topic zangu maana ni aibu
Inasikitisha mno , kama hoja yake ina mashiko afanye tathmini mbowe alikaa mahabusu miezi mingapi na tokea atoke ni miaka mingapi na utekaji uliaanza lini kwenye awamu hii.Nimepata simanzi sana Mkuu 🙆🏿♂️
Mwanzo 4:10Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.
ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.
Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.
Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.
Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.
Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.
Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.
Soma Pia:
Boniface Jacob
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Ex-Mayor
0712 239 595
Ni mtumiaji wa VPN za free internet #ApuuzweNi jambo jema mtu mzima kuuepuka ujinga sugu.
MTAZAMO WANGU;Napatwa na hasira hadi naahindwa kuelewa yaani watu wanatekwa mchana kweupe na kisha kuuwawa alfu waziri yuko na igp wako kimya jamani
Hivi visasi vikianzwa kulipwa wewe utabaki salama au unadhani utakuwa waziri n kiongozi maisha yako yote, waziri mzima Huna huruma na watanzania wana uliwa kinyama upo tu IGP upo tu kweli jamani,kweli jamani, hapana kwa kweli nawaombe mabaya iwapate laaani izunguke kwenye familia zenu.
Na kama hawa wanao uliwa na kuteka tueleze ni kwani nini je wana adhiri vip usalama wa nchi au wamepanga nyama gani tuelezwe tutulie.
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
SAWA.Hili suala watu wangu wa ndani wananiambia si suala la muungano.
Ukitaka kuikosoa serikali vuka maji nenda zako Zanzibar.
Huku hamna mtu anayeguswa hata kidogo.
Huku wakosoaji hadi tunapewa Internet ya bure, asubuhi pia tunakunywa uni wa bure maeneo ya mnazi mmoja.
Akili mtu wangu.
Yaani hawa watu ni waovu sana. Wanateka na kuwa Mzee wa miaka karibu 70. This is not right. Halafu Maza anakuja na kutweet cha kujisafisha. Seriously...!!?Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.
ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.
Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.
Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.
Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.
Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.
Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.
Soma Pia:
Boniface Jacob
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Ex-Mayor
0712 239 595
Atapatikana tu huyu Abdul, tutamtumia rafiki yake yule Salim lli atusaidie kumteka.
Rais amaanishe maneno yake ikiwezekana fukuza IGP na wengine utaona kama kazi haitafanyika.Tunaleana kipumbavu sana tukubali au tukatae,tabia ya jeshi la polisi ni mbaya na jeshi hili linatumika vibaya sana,watanzania ni binadamu wanaoteseka sana na wako kimya,viongozi waogope sana kuongoza watu kimazoea.hawa wanaopotea Wana familia zao,unadhani familia inaumia kiasi gani?Raia Samia hajatoa kauli thabiti dhidi ya kundi hili la kigaidi linaloendelea kufanya uhalifu wa kuteka na kuua raia wasio na hatua....
Aidha polisi wameendelea kutoa kauli tata, zilizobeba mizaha, kutojali na zinazoonesha "zero responsibility" kwa Jeshi la Police kinyume kabisa na wajibu wao wa kisheria na kikatiba.......
Kwa niaba ya raia wenzangu, naomba serikali kwa ujumla (Rais Samia Suluhu Hassan) na specific Jeshi la police wajibu maswali haya muhimu ya wananchi:
1. Kazi na jukumu la msingi la Jeshi la Police ni kulinda Usalama wa raia na Mali zao. Kazi yenu polisi pia hutekekezwa kutumia intellejensia ya kunusa uhalifu, kisha kuchunguza, kudhibiti na kukamata wahalifu na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Kama hizi ndizo kazi zenu, ni kwanini mauaji haya yanaendelea na ninyi mkiwa mpo kimya tu....?
2. Circumstantial evidence inaonesha wazi kuwa polisi kwa upande wa pili ni nyie mnahusika. Mmeunda genge la utekaji na uuaji wa kuteka na kutesa watu mnaoambiwa na viongozi wenu muwaue. Haina shaka kuwa mnafadhiliwa na wanasiasa vigogo ndani ya CCM na serikalini lengo likiwa ni kulinda madaraka na influence yao ya kisiasa. Polisi mmezikana tuhuma hizi. Mmesema hamhusiki. Kama ndiyo hivi, ni nani wanahusika....?
3. Genge hili la ugaidi linaloendesha shughuli zake mchana kweupe, kila linapomlenga mtu fulani na likimfikia hujitambulisha kuwa ni "police" wakitumia magari ya kifahari sana na wakati mwingine ya Jeshi polisi kwa sura na usajili wa namba zao. Swali muhimu ni hili, kwamba, inakuwaje genge hili la kihalifu linalojitambulisha kama "police" pale linapotenda uhalifu wake mchana kweupe na nyie polisi halisi hamfanyi kuchukua hatua zozote kuwatia mikononi mwenu wauaji hawa...?
4. Serikali (Rais Samia Suluhu Hassan), TANPOL na Waziri wa mapolisi ndugu Masauni, Je mmeshindwa kulinda uhai wa raia? Mnafanya nini kwenye ofisi zetu za umma kama genge hili la ugaidi limewashinda nguvu kiasi cha kujiona lenyewe ndiyo serikali? Kwanini mnadhani mnastahili kuaminika ktk mazingira haya?
##Rais Samia Suluhu Hassan toka mafichoni, acha kuwa chura kiziwi wa Kizimkazi waambie raia kuwa wewe na serikali yako mmeshashindwa kazi, mmeshindwa kutumia vyombo vya ulinzi kutulinda uhai wa watu ili kila mtu achukue hatua binafsi za kujilinda muone kama tutashindwa....!
======================================
UPDATES:
Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan (Chura Kiziwi) kafunguka masikio, amesikia na kutoka huko alikojificha na kutoa kauli.....
Si kauli thabiti kivile, yenye mamlaka na kumaanisha, lakini ingalau kasikia kilio cha umma na kusema neno japo inaonekana Kuna lijamaa limemwandikia tu hii statement, likaweka picha yake na kuitoa mitandaoni👇
Si kauli ya kumaanisha na kuonesha u - serous wa tatizo lililopo kwa sababu TANPOL a.k.a Polisi na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndiyo watuhumiwa wa kuhusika na kuendesha genge hili la kigaidi linalo teka na kuua raia bila sababu...
Rais Samia Suluhu Hassan Hassan hayuko serous. Anataka kunufaika kisiasa na damu za watu hawa wanaouwawa....
View attachment 3090590
Yaani wanawatumia polisi kufira, kubaka, kuteka, kupiga na kuua!CCM ya ajabu sn mkuu
Ile sheria mpya ya usalama wa taifa hili ndio lilikuwa lengo lake. Anachofanya rais ni hadaa ili kupooza watu. Lakini ukweli ni kuwa hakuna hatua yoyote serious itachukuliwa. Tusubiri hadithi za kutunga na uwezekano wa ripoti kutokutolewa ni mkubwa mno.Raia Samia hajatoa kauli thabiti dhidi ya kundi hili la kigaidi linaloendelea kufanya uhalifu wa kuteka na kuua raia wasio na hatua....
Aidha polisi wameendelea kutoa kauli tata, zilizobeba mizaha, kutojali na zinazoonesha "zero responsibility" kwa Jeshi la Police kinyume kabisa na wajibu wao wa kisheria na kikatiba.......
Kwa niaba ya raia wenzangu, naomba serikali kwa ujumla (Rais Samia Suluhu Hassan) na specific Jeshi la police wajibu maswali haya muhimu ya wananchi:
1. Kazi na jukumu la msingi la Jeshi la Police ni kulinda Usalama wa raia na Mali zao. Kazi yenu polisi pia hutekekezwa kutumia intellejensia ya kunusa uhalifu, kisha kuchunguza, kudhibiti na kukamata wahalifu na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Kama hizi ndizo kazi zenu, ni kwanini mauaji haya yanaendelea na ninyi mkiwa mpo kimya tu....?
2. Circumstantial evidence inaonesha wazi kuwa polisi kwa upande wa pili ni nyie mnahusika. Mmeunda genge la utekaji na uuaji wa kuteka na kutesa watu mnaoambiwa na viongozi wenu muwaue. Haina shaka kuwa mnafadhiliwa na wanasiasa vigogo ndani ya CCM na serikalini lengo likiwa ni kulinda madaraka na influence yao ya kisiasa. Polisi mmezikana tuhuma hizi. Mmesema hamhusiki. Kama ndiyo hivi, ni nani wanahusika....?
3. Genge hili la ugaidi linaloendesha shughuli zake mchana kweupe, kila linapomlenga mtu fulani na likimfikia hujitambulisha kuwa ni "police" wakitumia magari ya kifahari sana na wakati mwingine ya Jeshi polisi kwa sura na usajili wa namba zao. Swali muhimu ni hili, kwamba, inakuwaje genge hili la kihalifu linalojitambulisha kama "police" pale linapotenda uhalifu wake mchana kweupe na nyie polisi halisi hamfanyi kuchukua hatua zozote kuwatia mikononi mwenu wauaji hawa...?
4. Serikali (Rais Samia Suluhu Hassan), TANPOL na Waziri wa mapolisi ndugu Masauni, Je mmeshindwa kulinda uhai wa raia? Mnafanya nini kwenye ofisi zetu za umma kama genge hili la ugaidi limewashinda nguvu kiasi cha kujiona lenyewe ndiyo serikali? Kwanini mnadhani mnastahili kuaminika ktk mazingira haya?
##Rais Samia Suluhu Hassan toka mafichoni, acha kuwa chura kiziwi wa Kizimkazi waambie raia kuwa wewe na serikali yako mmeshashindwa kazi, mmeshindwa kutumia vyombo vya ulinzi kutulinda uhai wa watu ili kila mtu achukue hatua binafsi za kujilinda muone kama tutashindwa....!
======================================
UPDATES:
Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan (Chura Kiziwi) kafunguka masikio, amesikia na kutoka huko alikojificha na kutoa kauli.....
Si kauli thabiti kivile, yenye mamlaka na kumaanisha, lakini ingalau kasikia kilio cha umma na kusema neno japo inaonekana Kuna lijamaa limemwandikia tu hii statement, likaweka picha yake na kuitoa mitandaoni👇
Si kauli ya kumaanisha na kuonesha u - serous wa tatizo lililopo kwa sababu TANPOL a.k.a Polisi na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndiyo watuhumiwa wa kuhusika na kuendesha genge hili la kigaidi linalo teka na kuua raia bila sababu...
Rais Samia Suluhu Hassan Hassan hayuko serous. Anataka kunufaika kisiasa na damu za watu hawa wanaouwawa....
View attachment 3090590
Hio namba 3 ndio inayoongoza kwa kuwapeleka watu Katavi na UnunioZipo 'options' tatu:
1. Kusalimu amri, kujisalimisha kwa hao wanaopambania ya kwao ili waendelee bila usumbufu
2. Kupuuza tu na kujifanya hakuna lolote linalo sumbua nchi hii
3. Kukataa na kupinga kwa njia mbali mbali zinazoweza kutumika kwa kila mmoja awezavyo, ili mradi njia hizo zisaidie kuondoa tatizo.